Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,903
- 4,673
Mpori pori twende taratibu usikimbie nataka tuone kati yangu mimi na wewe nani shule alienda na yupi hakwenda.Ndiyo maana nasema wewe ni msengerema
Kumbe umemaliza form 6 mwaka 2013, wewe ni sawa tu na mtoto wangu
Kumbe napoteza muda kubishana na litoto tu hapa
Sasa nikuambie mimi form 6 nimemaliza mwaka gani?
Unawaonea huruma hao vibaka waliovamia mali za watu badala ya kufanya maandamano?
Wewe ni msengerema kweli kweli.
NB : huna umri wa kujibizana na mimi, nenda huko Facebook
Nimekuambia huyo aliyenunua Twitter ni fala tu hakutakiwa kununua Twitter alitakiwa a-create Twitter yake mpya kama alivyofanya Trump
Wewe ni bwege kweli kumbe form 6 ya 2013?
Sitajibizana na wewe tena
Kumbuka nimeshakuambia wewe ni mtoto kwangu, siwezi kuendelea kujibizana na ukiendelea zaidi nakuweka kwenye ignore list chap
Mpori pori unasema Jeshi la Wananchi(JWTZ/TPDF) ni taifa ndani ya taifa sio?kwasababu wana hospitali zao,mahakama zao(hizi ni hoja zako mpori pori)
Sawa uko sahihi.Kwahiyo na Roman Catholic ni taifa ndani ya taifa? maana wana shule zao,makanisa yao na hospitali si ndio.
Taifa ni nini mpori pori kwa uelewa wako?
Taifa ni mjumuisho wa watu wenye utamaduni wao,mipaka inayotambulika na mataifa mengine,sheria na miongozo mingine wakiwa wanaongozwa na kiongozi ambaye anaweza kuwa rais,malkia au mfalme kulingana na mfumo wa utawala wa taifa husika.
Hiyo ni tafsiri nyepesi mpori pori, haya nambie mipaka ya JWTZ hiko wapi?utamaduni wao ni upi?
Ukijibu vizuri ntakubali kwamba umenizidi