Ushauri / Ujumbe kwa JWTZ

Ushauri / Ujumbe kwa JWTZ

Sasa ukishinda nao huko makole ndiyo unadhani ni wenzako?

Jeshi lihitaji imani au kupendwa na wananchi kwa faida gani?

Eti warekodi movie ili wapendwe na wananchi!

Peleka utoto wako huko Facebook
Kwa maana nyingine unatwambia jeshi haliitaji ushirikiano wowote kutoka kwa wanainchi sio?

Basi kama ni hivyo halina haja ya kujiita jeshi la wanainchi. Maana lenyewe ni nchi inayojitegemea(kama unavyosema) na wala haliko responsible na ulinzi wa watanganyika.

Nimalize kwa kusema, wewe hauna akili hata kidogo kwa comments zako ulizoandika hapa.
 
Utaelewa nini principle moja Administration
" Military civilian cooperation" ?

Unafahamu kuwa bila Rais tusingeshinda vita ya Uganda????
Vita vya Uganda mlipata msaada kutoka nchi fulani huko kwa wazungu

Hamkushinda kwa nguvu zenu binafsi
 
Jeshi halihitaji imani au kupendwa na wananchi

Ni taasisi nyingine kabisa, ina sheria zao, hospitali zao, maduka yao, mahakama zao na maisha yao

Hawahitaji imani wala kupendwa na mtu
Jeshi lisipopendwa na raia kuna hatari ya raia kulifanya adui, na adui wa adui yako anaweza kuwa rafiki.
Hapa kwetu raia bado wana imani na jeshi lao regadless ya dosari zilizopo hivyo maadui wa Jeshi bado ni maadui wa raia.
 
Kati ya mimi na wewe nani ameanza kumu-quote mwenzake?

Mimi nimemjibu aliyeleta uzi wewe ukaanza kujibizana na mimi

Kwenda shule na kuwa na akili ni vitu viwili tofauti

Inawezekana ulienda shule ukapata Elimu ila Akili bado huna

Elekea kule Facebook kuna jamaa zako mnafanana
Nimequote upumbavu wako na sio wewe.Otherwise ungebaki nao kichwani ungeona nikikusumbua.Hauna uspecial wowote kwamba nikiquote upumbavu wako ni big deal.

Shule huna tu.Mtu aliyesoma angalau akamaliza kidato cha nne hawezi kushindwa kujua dhumuni la kuanzishwa JWTZ na kwanini jeshi linahitaji sana wananchi kuliko wananchi wanavyolihitaji jeshi.Rudi shule acha kuleta story zenu za vijiweni eti jeshi ni taifa jingine(hapa ndipo nimejua shule hauna)
 
Kwa maana nyingine unatwambia jeshi haliitaji ushirikiano wowote kutoka kwa wanainchi sio?

Basi kama ni hivyo halina haja ya kujiita jeshi la wanainchi. Maana lenyewe ni nchi inayojitegemea(kama unavyosema) na wala haliko responsible na ulinzi wa watanganyika.

Nimalize kwa kusema, wewe hauna akili hata kidogo kwa comments zako ulizoandika hapa.
Haya wewe una akili, Furahi sasa

Kama jeshi ni la wananchi katisha kizembe kambini kwao sababu wewe ni mwananchi uone kibano chake
 
Nimequote upumbavu wako na sio wewe.Otherwise ungebaki nao kichwani ungeona nikikusumbua.Hauna uspecial wowote kwamba nikiquote upumbavu wako ni big deal.

Shule huna tu.Mtu aliyesoma angalau akamaliza kidato cha nne hawezi kushindwa kujua dhumuni la kuanzishwa JWTZ na kwanini jeshi linahitaji sana wananchi kuliko wananchi wanavyolihitaji jeshi.Rudi shule acha kuleta story zenu za vijiweni eti jeshi ni taifa jingine(hapa ndipo nimejua shule hauna)
Peleka ujinga wako huko Facebook

Anza leo leo kususia jeshi uone kama watakosa kupewa mishahara yao
 
Hii ndio shida sasa.Mishahara ya jeshi hujui kama wanalipa wananchi?Kweli ujinga mzigo.Hii ndio shida ya mlala hoi kupata access ya internet yani ataandika kila kinachomjia kichwani.Ukitaka kuonekana relevant kwenye mada ngumu hakikisha shule ulienda sio mnakimbia shule then zikija mada zenye kutaka uelewa mdogo tu mnataka kujipenyeza.

Kodi ntaacha kulipa sasa uone hiyo mishahara itatoka wapi.Au hujui kodi yangu ya mwezi wanalipwa wanajeshi wawili ambao ni maafisa wateule daraja la pili jeshini
 
Hii ndio shida sasa.Mishahara ya jeshi hujui kama wanalipa wananchi?Kweli ujinga mzigo.Hii ndio shida ya mlala hoi kupata access ya internet yani ataandika kila kinachomjia kichwani.Ukitaka kuonekana relevant kwenye mada ngumu hakikisha shule ulienda sio mnakimbia shule then zikija mada zenye kutaka uelewa mdogo tu mnataka kujipenyeza.

Kodi ntaacha kulipa sasa uone hiyo mishahara itatoka wapi.Au hujui kodi yangu ya mwezi wanalipwa wanajeshi wawili ambao ni maafisa daraja la pili jeshini
Wewe ni bwege sana

Umekazana kuhusu kusoma, una uhakika na uthibitisho wowote kwamba sikusoma? Nikikuambia kuhusu elimu yangu utaficha uso wako, ila mimi huwa sijivunii elimu, huwa najivunia akili sababu akili haipatikani darasani

Unalipa kodi sababu ya ujinga wako, wajanja wote hawana time na kulipa kodi

Hebu anza leo kutokulipa hicho kikodi chako halafu uone kama kuna mwanajeshi atakosa mshahara
 
Shule huna babu.Kingine nimegundua una ushamba mwingi.Kukwepa kodi ni ujinga mwingine hakuna ujanja wa hivyo.

Sio kikodi sema kodi.Nalipa pesa nyingi ambayo wewe kwa akili zako ukipata utakuwa kichaa.Punguza ushamba na rudi kasome hizi mada za walioenda shule bwege wewe
 
Tupa kule

Peleka ushamba wako huko

Nenda kaigize hiyo movie ili wajeda waanze kupendwa na wananchi

Peleka ujinga wako huko Facebook

Ungekuwa na pesa nyingi usingepoteza muda wako hapa Jf
 
Narudia tena shule huna kwanza hujui kwamba Facebook kama social conferencing site ni kubwa kupita JF(najua hapa nimekuacha mbali)

Yani kila unapojibu ndio unazidi kujianika kwamba bado ni mpori pori.Elon musk na utajiri wake anashinda X ije kuwa mimi kuwa JF.Nakuwa JF muda kama huu kurekebisha watu kama wewe ambao mlichagua kukimbia shule lakini mnataka kujifanya wanazuoni

Point of information:Facebook ni kubwa kupita JF(acha ukasuku)
 
NAPENDA KUWASILISHA MAPENDEKEZO KUHUSU JINSI JWTZ INAVYOWEZA KUREJESHA NA KUIMARISHA IMANI YA JAMII KUPITIA MAUDHUI YA FILAMU NA TAMTHILIA (MOVIES/SERIES).
Kwa kuzingatia nafasi kubwa ya sanaa katika kuelimisha na kuunganisha jamii, napendekeza JWTZ itengeneze series mbili hadi tatu zenye lengo la kujenga awareness, uaminifu, na uelewa wa kina kwa jamii kuhusu majukumu, maadili, na mchango wa JWTZ katika kulinda taifa.
Mapendekezo Mahususi ni kama ifuatavyo:

1. Maudhui ya Kweli (True Stories):

Movies/series zihusishe historia ya kweli na simulizi halisi za missions ngumu na za kihistoria ambazo JWTZ imewahi kushiriki — iwe ni ndani au nje ya nchi. Hii itasaidia jamii kuona uhalisia, uzalendo, na kujitoa kwa askari wetu.

2. Mtindo wa Uwasilishaji:
Maudhui yawe ya kisasa, yenye ubora wa juu, yakichanganya drama, realism, na documentary style ili kuongeza uhalisia na kugusa hisia za watazamaji.

3. Uchaguzi wa Director na Wataalamu:
Ichaguliwe Director mwenye uwezo, maono, na nidhamu ya kazi, anayeweza kuheshimu misingi ya JWTZ na wakati huohuo kuwasilisha hadithi kwa lugha inayoeleweka na kukubalika na jamii.

4. Uchaguzi wa Wasanii:
Napendekeza kuepuka kutumia wasanii maarufu wa “Sinza” wanaojulikana zaidi kwa umaarufu kuliko uhalisia wa uigizaji.
Badala yake, wachaguliwe wasanii wenye uwezo wa kuigiza kwa uhalisia mkubwa. Benroyal Pictures wana wasanii wenye nidhamu, uwezo wa kuigiza roles nzito, na wanaofaa sana kwa aina hii ya maudhui.

5. Ushirikishwaji wa JWTZ Ndani ya Production:
JWTZ iwe sehemu ya karibu katika uandishi wa script, ushauri wa kiufundi, mavazi, lugha ya kijeshi, na mazingira ya kazi ili kuhakikisha uhalisia na kulinda taswira ya jeshi.

6. Ujumbe Chanya kwa Jamii:
Movies/series zionyeshe pia upande wa kibinadamu wa askari — uzalendo, kujitolea, changamoto za kifamilia, nidhamu, na mchango wao katika amani na maendeleo ya taifa.

7. Mkakati wa Usambazaji (Distribution):
Maudhui yaonyeshwe kwenye majukwaa yanayofikika kwa urahisi kama runinga za kitaifa, majukwaa ya kidigitali, na hata shule au vyuo kama sehemu ya elimu ya uzalendo.

Kwa ujumla, naamini sana kuwa kupitia movies na series zenye uhalisia, ubora, na maudhui ya kweli, JWTZ itaweza kuimarisha uaminifu, kurejesha heshima, na kujenga upya mahusiano chanya na jamii.

Nawasilisha mapendekezo haya kwa heshima kubwa na kwa nia njema ya kuona JWTZ ikiendelea kuwa taasisi inayoheshimika na kuaminiwa na Watanzania wote.
Watu watapuuza,watasema ni muvi tu sio kweli wakiamini kwenye muvi kuna chumvi na chai
 
Narudia tena shule huna kwanza hujui kwamba Facebook kama social conferencing site ni kubwa kupita JF(najua hapa nimekuacha mbali)

Yani kila unapojibu ndio unazidi kujianika kwamba bado ni mpori pori.Elon musk na utajiri wake anashinda X ije kuwa mimi kuwa JF.Nakuwa JF muda kama huu kurekebisha watu kama wewe ambao mlichagua kukimbia shule lakini mnataka kujifanya wanazuoni

Point of information:Facebook ni kubwa kupita JF(acha ukasuku)
Tupa kule

Hata wewe shule huna. Kama unayo upload vyeti vyako hapa uthibitishe upupu wako

Elon Musk ana akili gani? Kaenda kununua Twitter badala ya kuanzisha mtandao wake kama alivyofanya trump

Wewe mburula tu peleka ujinga wako huko
 
Tupa kule

Hata wewe shule huna. Kama unayo upload vyeti vyako hapa uthibitishe upupu wako

Eron Musk ana akili gani? Kaenda kununua Twitter badala ya kuanzisha mtandao wake kama alivyofanya trump

Wewe mburula tu peleka ujinga wako huko
Nimeandika vizuri jina la Elon Musk wewe hata kucopy unashindwa wewe kweli kiazi.

Unataka kujua elimu yangu sio?vyeti vya nini.Ingia kwenye mtandao tafuta shule inaitwa Emma high school.Tafuta matokeo ya 2013 form six angalia candidate namba 21 ndio mimi bwege wewe ukirudi utawasimulia wenzako au nikwambie na chuo ukatafute

R.I.P dogo muuza mayai uliyekufa bora ulikuwa unachangia pato la taifa.Ingekufa hii mbuzi tungeomboleza kama taifa lakini pasingekuwa na hasara maana shule haijaenda,akili haina na TIN number ndio kabisa.Sasa wewe duniani umebaki kufanya nini?
 
Ndiyo maana nasema wewe ni msengerema

Kumbe umemaliza form 6 mwaka 2013, wewe ni sawa tu na mtoto wangu

Kumbe napoteza muda kubishana na litoto tu hapa

Sasa nikuambie mimi form 6 nimemaliza mwaka gani?

Unawaonea huruma hao vibaka waliovamia mali za watu badala ya kufanya maandamano?

Wewe ni msengerema kweli kweli.

NB : huna umri wa kujibizana na mimi, nenda huko Facebook

Nimekuambia huyo aliyenunua Twitter ni fala tu hakutakiwa kununua Twitter alitakiwa a-create Twitter yake mpya kama alivyofanya Trump

Wewe ni bwege kweli kumbe form 6 ya 2013?

Sitajibizana na wewe tena

Kumbuka nimeshakuambia wewe ni mtoto kwangu, siwezi kuendelea kujibizana na ukiendelea zaidi nakuweka kwenye ignore list chap
 
NAPENDA KUWASILISHA MAPENDEKEZO KUHUSU JINSI JWTZ INAVYOWEZA KUREJESHA NA KUIMARISHA IMANI YA JAMII KUPITIA MAUDHUI YA FILAMU NA TAMTHILIA (MOVIES/SERIES).
Kwa kuzingatia nafasi kubwa ya sanaa katika kuelimisha na kuunganisha jamii, napendekeza JWTZ itengeneze series mbili hadi tatu zenye lengo la kujenga awareness, uaminifu, na uelewa wa kina kwa jamii kuhusu majukumu, maadili, na mchango wa JWTZ katika kulinda taifa.
Mapendekezo Mahususi ni kama ifuatavyo:

1. Maudhui ya Kweli (True Stories):

Movies/series zihusishe historia ya kweli na simulizi halisi za missions ngumu na za kihistoria ambazo JWTZ imewahi kushiriki — iwe ni ndani au nje ya nchi. Hii itasaidia jamii kuona uhalisia, uzalendo, na kujitoa kwa askari wetu.

2. Mtindo wa Uwasilishaji:
Maudhui yawe ya kisasa, yenye ubora wa juu, yakichanganya drama, realism, na documentary style ili kuongeza uhalisia na kugusa hisia za watazamaji.

3. Uchaguzi wa Director na Wataalamu:
Ichaguliwe Director mwenye uwezo, maono, na nidhamu ya kazi, anayeweza kuheshimu misingi ya JWTZ na wakati huohuo kuwasilisha hadithi kwa lugha inayoeleweka na kukubalika na jamii.

4. Uchaguzi wa Wasanii:
Napendekeza kuepuka kutumia wasanii maarufu wa “Sinza” wanaojulikana zaidi kwa umaarufu kuliko uhalisia wa uigizaji.
Badala yake, wachaguliwe wasanii wenye uwezo wa kuigiza kwa uhalisia mkubwa. Benroyal Pictures wana wasanii wenye nidhamu, uwezo wa kuigiza roles nzito, na wanaofaa sana kwa aina hii ya maudhui.

5. Ushirikishwaji wa JWTZ Ndani ya Production:
JWTZ iwe sehemu ya karibu katika uandishi wa script, ushauri wa kiufundi, mavazi, lugha ya kijeshi, na mazingira ya kazi ili kuhakikisha uhalisia na kulinda taswira ya jeshi.

6. Ujumbe Chanya kwa Jamii:
Movies/series zionyeshe pia upande wa kibinadamu wa askari — uzalendo, kujitolea, changamoto za kifamilia, nidhamu, na mchango wao katika amani na maendeleo ya taifa.

7. Mkakati wa Usambazaji (Distribution):
Maudhui yaonyeshwe kwenye majukwaa yanayofikika kwa urahisi kama runinga za kitaifa, majukwaa ya kidigitali, na hata shule au vyuo kama sehemu ya elimu ya uzalendo.

Kwa ujumla, naamini sana kuwa kupitia movies na series zenye uhalisia, ubora, na maudhui ya kweli, JWTZ itaweza kuimarisha uaminifu, kurejesha heshima, na kujenga upya mahusiano chanya na jamii.

Nawasilisha mapendekezo haya kwa heshima kubwa na kwa nia njema ya kuona JWTZ ikiendelea kuwa taasisi inayoheshimika na kuaminiwa na Watanzania wote.
JWTZ(TPDF) haiwezi kusafishika hata script ya brainwashing projects kupitia movies zikitengenezewa Hollywood. Wameshajitanabaisha kuwa wao ni tawi la CCM na wako tayari kuua Watanganyika mercilessly kwa maslahi ya viongozi wa CCM na familia zao hivyo hilo haiwezekani kulifuta kwa Watanganyika kwa kutegemea drama za movie characters. People died in case you don't remember, unategemea movie isahaulishe waliopiteza wapendwa wao? Je unategemea movie isahaulishe machungu ya familia ambazo mpaka leo hawajui miili ya wapendwa wao ilipo?
Wazo la kimbavu sana ambalo kuli-entertain ni kujivika upumbavu uliokithiri.
 
Ndiyo maana nasema wewe ni msengerema

Kumbe umemaliza form 6 mwaka 2013, wewe ni sawa tu na mtoto wangu

Kumbe napoteza muda kubishana na litoto tu hapa

Sasa nikuambie mimi form 6 nimemaliza mwaka gani?

Unawaonea huruma hao vibaka waliovamia mali za watu badala ya kufanya maandamano?

Wewe ni msengerema kweli kweli.

NB : huna umri wa kujibizana na mimi, nenda huko Facebook

Nimekuambia huyo aliyenunua Twitter ni fala tu hakutakiwa kununua Twitter alitakiwa a-create Twitter yake mpya kama alivyofanya Trump

Wewe ni bwege kweli kumbe form 6 ya 2013?

Sitajibizana na wewe tena

Kumbuka nimeshakuambia wewe ni mtoto kwangu, siwezi kuendelea kujibizana na ukiendelea zaidi nakuweka kwenye ignore list chap
Mpori pori soma matokeo hayo na shule niliyosoma jambo la kumaliza 2013 form six sio hoja ndio maana nikasema akili hauna lakini si kuna wengine wamekwambia kwamba wewe ni hamnazo au ni mimi tu?

Emma high school sio shule za buku buku mpori pori.Ningezaliwa mapema ningemaliza shule mapema acha kuanika ujinga wako humu.

Sema siwezi kuwa na baba wa hivi hatakama umenizidi umri.Yani mpori pori unaamini jeshi ni taifa ndani ya taifa.Ulisoma UPE ndio maana siwezi kulaumu
 
Back
Top Bottom