mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
- Thread starter
- #21
Walipe mshahara mkubwa watabaki 2
Inategemea na kipato hahah
Walipe mshahara mkubwa watabaki 2
mama dunia Pole sana na naelewa hali unayoipitia.. kwa mjasilia mali mdogo au wa kati .. hiyo ni hali ya kawaida kabisa .. kwanza hongera kwa kufanya on job training ni wajasiliamali wachache wanaofanya hivyo...
Pili sikushauri kuongeza dau kwa wafanyakazi wako kama kipato hakiruhusu.
Tatu... jaribu kubadilisha mikataba ya ajira.. ipe thamani training yako na wakati wa kusaini ajira ... mwajiliwa anatakiwa a commit to pay back your training cost in cash endapo ataondoka... hapo hutawabana wafanyakazi kutotoka au mwajili mpya kulipia training cost kama atataka kuajili wafanyakazi wako..
Kwa sasa ni hayo tu ... mengine ni PM .... karibu katika timu ya wajasilia mali
Thanks Sangarara, nina watrain mambo ya marketing, yani kuhusu job security may be wanahisi hapana usalama am not sure ila malipo ni ya kawaida kwakuwa siwezi walipa sana kwakuwa huwezi lipa zaidi wakati unajua wewe unapata kiasi gani, mie mara nyingi nakuwa open nawashirikisha katika mambo yote ya kampuni mfano kama kuna mradi umepatikana etc, tena nao wanaaandikaga hizo profomas etc sipendi kuficha ficha..
Hi Wanajamvi, hebu nipeni ushauri maana napata hasira,
Nina kampuni yangu kwahiyo kila nikiajiri huwa na train sana staff ili waelewe kazi kwa ufasaha kabisa na huwa na pia nina hire trainers wa hiyo field ili wapate kuelewa zaidi. Mshahara ninaowapa ni wa kawaida kwakuwa namie simkubwa kivile kwenye game, sasa tatizo linakuja unarecruit leo after three month jamaa wanakuaga wanaenda mara voda, mara airtel, kusema ukweli roho inauma maana naona napoteza resources nyingi na wanatoka, sasa hivi ninao wanne, watatu ndo wanaodeal sana na kazi, sasa nishaurini nifanyeje, nivumilie tu maumivu tu kama kawaida au nifanye nini..mie si mkali kwakwei ni kuelekezana tu basi..mbaya zaidi leo nimefuma communications za hawa waliopo kuwa wanaelekezana namna ya kuapply kazi mbali mbali --umeapply ile, umeapply na ile nk, kweli nimekasirika nimewatizama wenyewe hata hawajajua hadi sasa ila am not happy at all nao, au sijui niwatoe tu maana nimeboreka. i know ni changamoto ila roho inauma, maana inakuwa kama hapa ni ladder vile..nasubiri ushauri mnipe moyo