mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Umepungukiwa na neno moja mama angu " How to make your employees Stay" that didn't sound like one word lakini...anyway ni pm maybe I can be of help.Hi Wanajamvi, hebu nipeni ushauri maana napata hasira,
Nina kampuni yangu kwahiyo kila nikiajiri huwa na train sana staff ili waelewe kazi kwa ufasaha kabisa na huwa na pia nina hire trainers wa hiyo field ili wapate kuelewa zaidi. Mshahara ninaowapa ni wa kawaida kwakuwa namie simkubwa kivile kwenye game, sasa tatizo linakuja unarecruit leo after three month jamaa wanakuaga wanaenda mara voda, mara airtel, kusema ukweli roho inauma maana naona napoteza resources nyingi na wanatoka, sasa hivi ninao wanne, watatu ndo wanaodeal sana na kazi, sasa nishaurini nifanyeje, nivumilie tu maumivu tu kama kawaida au nifanye nini..mie si mkali kwakwei ni kuelekezana tu basi..mbaya zaidi leo nimefuma communications za hawa waliopo kuwa wanaelekezana namna ya kuapply kazi mbali mbali --umeapply ile, umeapply na ile nk, kweli nimekasirika nimewatizama wenyewe hata hawajajua hadi sasa ila am not happy at all nao, au sijui niwatoe tu maana nimeboreka. i know ni changamoto ila roho inauma, maana inakuwa kama hapa ni ladder vile..nasubiri ushauri mnipe moyo
Umepungukiwa na neno moja mama angu " How to make your employees Stay" that didn't sound like one word lakini...anyway ni pm maybe I can be of help.
ex kidumu bado una wivu na mie eeeh?Ex kidumu umesema eti utaimsaidia bedroom? Haya mie napita tu
ex kidumu bado una wivu na mie eeeh?
Don Mangi 01:05 Yesterday
By King'asti:
Ex kidumu umesema eti
utaimsaidia bedroom? Haya mie
napita tu
ex kidumu bado una wivu na mie
eeeh?
.......Mnaingiza mahaba kwenye thread ya mama dunia wa watu.....!!
Hi Wanajamvi, hebu nipeni ushauri maana napata hasira,
Nina kampuni yangu kwahiyo kila nikiajiri huwa na train sana staff ili waelewe kazi kwa ufasaha kabisa na huwa na pia nina hire trainers wa hiyo field ili wapate kuelewa zaidi. Mshahara ninaowapa ni wa kawaida kwakuwa namie simkubwa kivile kwenye game, sasa tatizo linakuja unarecruit leo after three month jamaa wanakuaga wanaenda mara voda, mara airtel, kusema ukweli roho inauma maana naona napoteza resources nyingi na wanatoka, sasa hivi ninao wanne, watatu ndo wanaodeal sana na kazi, sasa nishaurini nifanyeje, nivumilie tu maumivu tu kama kawaida au nifanye nini..mie si mkali kwakwei ni kuelekezana tu basi..mbaya zaidi leo nimefuma communications za hawa waliopo kuwa wanaelekezana namna ya kuapply kazi mbali mbali --umeapply ile, umeapply na ile nk, kweli nimekasirika nimewatizama wenyewe hata hawajajua hadi sasa ila am not happy at all nao, au sijui niwatoe tu maana nimeboreka. i know ni changamoto ila roho inauma, maana inakuwa kama hapa ni ladder vile..nasubiri ushauri mnipe moyo
mama dunia Pole sana na naelewa hali unayoipitia.. kwa mjasilia mali mdogo au wa kati .. hiyo ni hali ya kawaida kabisa .. kwanza hongera kwa kufanya on job training ni wajasiliamali wachache wanaofanya hivyo...
Pili sikushauri kuongeza dau kwa wafanyakazi wako kama kipato hakiruhusu.
Tatu... jaribu kubadilisha mikataba ya ajira.. ipe thamani training yako na wakati wa kusaini ajira ... mwajiliwa anatakiwa a commit to pay back your training cost in cash endapo ataondoka... hapo hutawabana wafanyakazi kutotoka au mwajili mpya kulipia training cost kama atataka kuajili wafanyakazi wako..
i

Kwa sasa ni hayo tu ... mengine ni PM .... karibu katika timu ya wajasilia mali
haya mammie ila naona ka comment kako na wivu wivu hiviWalaaaaa. Nmeuliza tu usije ukarudi kuniomba ushauri nasaha. Ntakuja na mie uniambie how to make my employees stay
are you serious au unajifurahisha kuandika,by the way huwezi kumzuia mtu kuondoka kazini
haya mammie ila naona ka comment kako na wivu wivu hivi
...
una watrain mambo gani? unatakiwa kujenga mazingira ya wao kuona kwamba hapo kwenye kampuni yako kuna future, kwa maana ya kwamba, kuna job security, kuna fursa za kukua kwa maana ya kuongezeka kipato na kufanya kazi nyingi zaidi, wafanyakazi wanataka hayo tu kiongozi.
ama sivyo train them more and more, na hakikisha unakuwa wafanyakazi wazuri kwenye key areas na uwalipe vizuri, ukiendeleza mchezo wako wa kumaxmise profit kwa kuwalipa wafanyakazi wako kidogo ujue unajiandalia frustration zaidi.
mama dunia Pole sana na naelewa hali unayoipitia.. kwa mjasilia mali mdogo au wa kati .. hiyo ni hali ya kawaida kabisa .. kwanza hongera kwa kufanya on job training ni wajasiliamali wachache wanaofanya hivyo...
Pili sikushauri kuongeza dau kwa wafanyakazi wako kama kipato hakiruhusu.
Tatu... jaribu kubadilisha mikataba ya ajira.. ipe thamani training yako na wakati wa kusaini ajira ... mwajiliwa anatakiwa a commit to pay back your training cost in cash endapo ataondoka... hapo hutawabana wafanyakazi kutotoka au mwajili mpya kulipia training cost kama atataka kuajili wafanyakazi wako..
Kwa sasa ni hayo tu ... mengine ni PM .... karibu katika timu ya wajasilia mali
Ushauri mzuri sn ni wengi tunakumbana na tatizo hilo, kwa kuongezea inategemea na aina ya biashara/kazi yako wakati mwingine ajiri anayependa commited person pia awe na uwezo wa kuelewa au kujiendeleza lakini std 7 tu au form 4 failure kabisa kiasi kwamba ni ngumu kuwa na link na activities nyingine japo ni wagumu wa kuelewa kwangu mm std 7 ndio high commited and reliable kuliko wote japokuwa pia wana drawback zao nyingi less confidence n.k.
COURTESY wa TZ wengi hatuajili kwa mikataba ya maandishi ndio maana unaona ushauri wangu hauwezekani..
Kwa wenzetu na hata serikalini wakikupa training unasaini mkataba wa kuitumikia ofisi au serikali kwa miaka kadhaa kurudisha gharama za training .. uwezi unalipia....
Ni Rahisi sana unaweka mkataba wako vizuri wakati wa kuajili na unaweka cost zako za training wazi na unamsainisha mfanyakazi kila apatapo training/ on job traing...
siku ya kutaka kuacha kazi unamkumbusha kuwa anatakiwa akulipe / na kama akitoroka labda usijuwe ameenda wapi lakini ukijuwa una haki ya kutaka mwajili mpya akulipe gharama zako
Ni maandishi tu yanatushinda wa Tz ndio maana mikataba mingi tunaingia mikenge