Ushauri: Tumuache asome diploma au aende kidato cha tano?

Mpelekeni Diploma, huko 5 & 6 ni kupoteza muda tu kwa kuongeza material zisizo na maana kichwani. Mimi binafsi milipitia 5 & 6 PCM then nikaenda degree, nilichukua njia hiyo kwa sababu sikuwa na taarifa sahihi lakini pia huwa sioni cha maana nilichofanya muda wa form 5 & 6, ni muda nilio utumia kulala sana bwenini hatimaye nikapata Division 0 kwenye mtihani wa mock, nikajiandaa kipindi kilichobakia NECTA nikapata Div 3.13 then nikachaguliwa kwenye chuo changu pendwa DIT, kitu ambacho ningekuwa na taarifa sahihi ningeenda zangu moja kwa moja DIT kusoma diploma baada ya kumaliza kidato cha nne. Yote kwa yote 5 & 6 ni kupoteza muda tu na kwenda kujaza material yasiyo na tija kichwani
 
Habari za saizi
Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana, amefanikiwa kupata division two, yeye anataka akasome diploma ya physiotherapy na ili asiende advance anasema itakuwa ngumu kuchaguliwa PCB amepata Physics -D Biology -C Chemistry -C Mathematics -C.

Je, tumuache tu aende diploma?
Aende kwanza VETA diploma na advance atapoteza muda tu👿
 
Mpelekeni Diploma, huko 5 & 6 ni kupoteza muda tu kwa kuongeza material zisizo na maana kichwani. Mimi binafsi milipitia 5 & 6 PCM then nikaenda degree, nilichukua njia hiyo kwa sababu sikuwa na taarifa sahihi lakini pia huwa sioni cha maana nilichofanya muda wa form 5 & 6, ni muda nilio utumia kulala sana bwenini hatimaye nikapata Division 0 kwenye mtihani wa mock, nikajiandaa kipindi kilichobakia NECTA nikapata Div 3.13 then nikachaguliwa kwenye chuo changu pendwa DIT, kitu ambacho ningekuwa na taarifa sahihi ningeenda zangu moja kwa moja DIT kusoma diploma baada ya kumaliza kidato cha nne. Yote kwa yote 5 & 6 ni kupoteza muda tu na kwenda kujaza material yasiyo na tija kichwani
Nimekuelwa shukran sana
 
Back
Top Bottom