Ushauri: Tumuache asome diploma au aende kidato cha tano?

Ushauri: Tumuache asome diploma au aende kidato cha tano?

Km ana 2 ya 18 au 19, basi PCB anachaguliwa bila shida, tena 1St selection, labda aseme yeye mziki wa PCB advance hajioni akitoboa.

Lakini kwa kuwa yeye ameona bora aende Dip basi muacheni, ila mpeni ushauri, sio hiyo anayoitaka, aende Dental ina soko kwa sasa.

Ni hayo tyuuh.
Mhhh acha nikae kimya
 
Mkuu ushauri wangu,huyo ni kijana mdogo mshauri asomee koz ambazo mabadiliko ya Artificial Intelligency hayataathiri sana career yake.Kuna kozi baada ya miaka 10 au 20 hazitakuwa na tija tena na soko lake litakuwa gumu sana.Angalia anachokipenda then fanyen research ya kutosha ili msije kujutia au kulaumu huko mbeleni.Nataman kama taifa tungejitahid kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu AI ili kunusuru vyuo vyetu na watoto wetu.Chukulia tu mfano wa Gun massage na mashine zinazojiendesha zenyewe hospital kusaidia egronomic za wagonjwa wengi.Njoo DM tuyajenge zaid
Ni kweli lakini kama Al imeingia kwenye surgery kilichobaki unafikiri kwenye field ya afya hakuna itakayoathiriwa ?

Usitushe watu mzee
 
Habari za saizi
Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana, amefanikiwa kupata division two, yeye anataka akasome diploma ya physiotherapy na ili asiende advance anasema itakuwa ngumu kuchaguliwa PCB amepata Physics -D Biology -C Chemistry -C Mathematics -C.

Je, tumuache tu aende diploma?
Peleka VETA
 
Labda nikuulize kwanini umesema dental ina soko ? Why dental na sio kozi zingine na umetumia nini kuishauri hivyo?
Kumbe shida ni mie kushauri Dental na sio kozi zingine, bas hizo kozi zingine ndio wee utoe ushauri kuzihusu.

Bado nafasi unayo, mpe ushauri muhusika
 
Kumbe shida ni mie kushauri Dental na sio kozi zingine, bas hizo kozi zingine ndio wee utoe ushauri kuzihusu.

Bado nafasi unayo, mpe ushauri muhusika
We si ndio umesema ina soko how ?
 
Kumbe shida ni mie kushauri Dental na sio kozi zingine, bas hizo kozi zingine ndio wee utoe ushauri kuzihusu.

Bado nafasi unayo, mpe ushauri muhusika
Mimi sina shida na hizo nyingine bali jibu lako tu. 😃
 
Nilitoa ushauri wangu binafsi, nawee toa wako pia.
Sorry
Na ndio maana ikawa hadharani na sio PM, ili kila Mtu aweze kutoa maoni, Mimi kutoa maoni yangu ni pamoja na hayo ambayo nimekuuliza.
 
AENDE COLLEGE AKASOME CERTIFICATE KISHA DIPLOMA HUYOOO CHAAP KWA HARAKA....AU IKISHINDIKANA AENDE VETA. SIO ADVANCE.
wakuu nje ya mada: naombenii groups/link za waloitwa kweny usaili leo jeshi la zimamoto na uokoajii jmn
 
Kwanini asiende advance?
 
Back
Top Bottom