Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,694
- 3,277
Kwanini aambiwe diploma ya dental kuna nini huko?Kama lengo lake ni PCB mpelekeni private.ili akimaliza aende degree moja kwa moja .
But kama mwenyewe kasema anataka physiotherapy mpelekeni ni kozi nzuri japo mngemwambia pia kuhusu diploma ya dental