Na siku zote mpaka upotee ndiyo unajua umepotea, na huu umekuwa msemo kama misemo mingine still watu wanaingia chaka hii ni kwa sababu wanawake wanataka wanaume wenye pesa wakifikiri pesa hudumu na kusahau za kutafuta mkiwa wawili ni tamu kuliko za kuzikuta...wakat wanaume wanatafuta wanawake presentable na kusahau kuwa mwanamke yeyote unaweza kumfanya kuwa presentable kwani hao waliopresentable hawajazaliwa presentable kuna matunzo fulani yapo ambayo siyo bure bure au hata akiwa presentable sijui mrembo kumbuka binadamu hatujaumbwa hatujaumbika miili hubadilika,hatakuwa presentable siku zote, chamsingi ni kuwa na mtu ambaye mnapendana mnaheshimiana kila mmoja wenu yuko commited kwenye hilo penzi lenu,kila mmoja aonyeshe hisia za kumhitaji mwenzake bhaaaas! mengine yote mbwembwe tu