Ushauri tafadhali

unatafuta stress tu ndugu yangu....mimi janaume tukishindwana ndo imetoka hairudi tena....atajakukutonesha kidonda huyo utajuta kumrudia na kumuuliza Mungu maswali ya ajabu ajabu. ooh kwanini mimi...kwanini umemrudisha kumbe uliyataka mwenyewe!
 
Mwanaume Akigundua Kwake Umekufa Umeoza Ndo Zao Hao, Atasema Chochote Bila Woga Akijua Huwez Move On, Atafanya Uzinzi Hadharani Akijua Huna Chakumfanya Utajiliza Utanuna Unasamehe, Tena Wahivyo Usipokuwa Makini Hawahudumii Gf Zao Wanataka Vyabure, Umri Wako Bado Sana Mdogowangu, Tulia Funga Ndoa Usijarahisishe Kwawanaume, Muoaji Hayuko Hivyo, Kama Unahisi Huyo Ndiye Mwambie Akakupose Kwenu, Afate Taratibu Zote Mfunge Ndoa, Uskubali Aendelee Kukufanya Spea Tairi, Be Carefully Dadaa
 
Dar gari ni kila kitu nowadays...usione watu wana kopakununua gari ukawaona wajinga....
mara mgomo mara upuuzi gani ili mradi ka nchi kagumu haka

Na ukioa utaishi kwenye gari.
Wewe na mkeo wote kwenye gari.
Watoto wote kwenye gari.
Vyombo,nguo, vyote kwenye gari.

Choo utajenga kwenye gari.

Ukiugua utajiuguzia kwenye gari.

Ukifiwa msiba utaweka kwenye gari.

Umewaza vizuri,GARI NDIO KILA KITU!
 

Usipate tabu bibie.
Wanaume wapo wengi sana,wenye mvuto,wenye kujua thamani ya mwanamke,WASIKILIZE wakikujia.
Au watafute utawapata.

Usilazimishe kupendwa,WAKATI WAPO WANAOKUPENDA.
Anapokuona wewe wa nini,wapo wanaowaza watakupata lini,
Watakupata vipi.

Achana naye!
Usiwe mtumwa hisia!

AMINI YUPO WAKWAKO,AMBAYE ATAKUFANYA USAHAU YOTE HAYO.
MKAFANYA MAISHA,mkawa na
NDOA YENYE FURAHA,mkajenga
FAMILIA YENYE AMANI.

Mpaka utajiuliza,ulikua unang'ang'ania nini kwa Huyo?

Utatamani kama mngejuana toka mapema!

Mapenzi ni kupendana!
 

Nyumba za kupanga zipo kibaaa mjini...
Gari y kukodi ni Ghalikuliko nyunb ya upanga
Gari kwanza nyumba baadae
 
Nyumba za kupanga zipo kibaaa mjini...
Gari y kukodi ni Ghalikuliko nyunb ya upanga
Gari kwanza nyumba baadae

Ndio maana nikakuunga mkono.

Hata hawa wanaopangisha,wanakosea,
Inabidi wanunue magari,
Watu wapange kwenye magari.

Nyumba nini bhana,wakati huwezi kuiendesha!

Gari ndio mpango mzima.

Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!
 
Mwanzo ulikubali kuwa spare tyre kisha baadae ukastuka sasa kuna ushauri gani zaidi ya huo?tabia ni kama ngozi atabadirika kwa kukuzuga ila kumbuka maji hayasahau baridi.
Wapo wanaoweza kubadilika ila sio guarantee kila mtu ataweza.
 
Hapo elewa ni genye zimemruka kama umri wa balehe kwa kijana, zikiisha usirudi tena hapa na hoja zako dhaifu.... Mbona naona kama hutambui wewe ni wa thamani sana na hupaswi kuwa kama gari la kufundishia... Please ione thamani yako banaaaaaaaaaaaa sasa utaonjwa hadi lini?????????????
 
Mkuu kiroho safi nimependa vina vyako, lazima utakuwa mbongofleva weye.
 

asante sana kwa ushauri
 
Siyo yeye tu, nahisi suala la utoto linakwenda pande zote hapa!!
 

Wabaya sana wanaume wanaojua upo katika maumivu alafu ndio anajifanya kukupenda aisee atakuingiza chaka lingine, tulia haswaa hata miezi ipite akili yako weka kwenye shughuli zako lakini pia tengeneza marafiki ili usijisikie mpweke, kuwa na marafiki hasa hao hao wakiume ila waonyeshe msimamo wako kuwa upo nao kwaajili yakufurahi nao na kubadilishana mawazo not otherwise, lakini wawe ni wale wakujielewa na kujitambua sio tutoto twa kiume, amini hawa sio watu wabaya kama unavyowaza, ni hulka tu za wajinga fulani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…