Tafuta mkopo umsomeshe wewe ili awe huru kuhamia kwako baada ya kumaliza chuo.1.Niko Mbeya Mkuu,
2.kazi zetu wote zina security ila yake ina kibano zaidi kwa kuwa mwajiri anamlipia ada ya Masters so lazima atumikie miaka mitano na hakuna ofisi zingine huku mkoani,
3. Yeye ana nafasi zaidi hasa baada ya kupata shahada ya Pili lakini atatakiwa kumtumikia mwajiri wa sasa miaka 5