Rudi na majibu mazuri Mkuu, nakusubiri hapa hapaPole sana mkuu, maamuzi yanayokukabiri ni magumu sana hivyo nitarudi baadaye.
- je wewe uko mkoa gani???
- kati yako na mkeo yupi ambaye security ya kazi ni kubwa (pato)
- je nani ana uwezekano mkubwa wa kupata kazi kati yenu??
Nilifikiri magumu kwangu tu, kumbe na kwako?Mambo mengine magumu jamani....
Wote wawili tunakerwa sana na hali hii. Siku niliyopata barua ya kupangiwa kituo huku Mkoani mwenzangu alilia usiku kucha. Na hata kuja kunitembelea afadhali mimi naweza kupitisha miezi mitatu lakini yeye anaweza kuja mara mbili kwa mwezi.Haya maswali ni ya msingi sana, kama ukiyajibu, nitakuwa kweye nafasi nzuri ya kukushauri............. lakini pia na mimi niulize swali la nyongeza, Je mwenzio anaonekana kukerwa na kutokuishi kwenu pamoja kama wanandoa, au anachukulia powa tu?
Kama ukijibu hayo maswali yote na hilo la nyongeza nadhani sio mimi tu, bali wadau wengine humu jamvini watakuja na ushauri mzuri tu.
[/LIST]
Nilifikiri magumu kwangu tu, kumbe na kwako?
1.Niko Mbeya Mkuu,
- je wewe uko mkoa gani???
- kati yako na mkeo yupi ambaye security ya kazi ni kubwa (pato)
- je nani ana uwezekano mkubwa wa kupata kazi kati yenu?
Ok nipe ushauri wako basi ndugu yangu maana kichwa changu kimeelemewa kabisa.Kwa situation kama hio hapo juu, kutoa ushauri ni rahisi but na Imagine ndo yamenikuta na ndo inatakiwa nifanye maamuzi - inakua ngumu saaana.
Asante, nime note wazo lako. Ubarikiwe saaaaaaanaTafuta kazi nyengine huku ukiendelea na kazi yako ya sasa kwa kuanzia
Mkuu nimejibu hapo juu kwamba siku nilipopata barua ya kuja mkoani Mwenzangu alilia usiku kucha na hata sasa hivi yeye ndie anayepiga trip za Mkoani walau twice a month. Infact anaumia sana hadi huruma japo inatuathiri wote wawili vibaya sanaHujajibu swali la msingi iwapo mwenzako anaichukuliaje hali hii ?
Asante sana Mkuu RD kwa ushauri, nakubaliana sana na wewe ndoa zinasumbua sana. Be blessedMaisha ni changamoto, hiyo hali wa kuibadili ni wewe!! Acha uoga fanya maamuzi naimani kazi zipo nyingi ukianza mchakato saizi kufikia mwakani unaweza kupata kazi ambayo itakutoa kifungoni. Ndoa zinaathiri sana watu wengi tena wengi sehemu mbali mbali duniani. Kwa hiyo wewe, una bahati ya kuwa na mke ambaye hamjagombana kutokana na hilo. Fanya juhudi uwe naye karibu.
Dah Arusha tena? Mbona kama hakuna tofauti sana na Mbeya? Labda ungesema Moro au Kibaha. Waajiri wetu ni balaa tupu Kaka. Unakutana na Afisa Utumishi aliyezoea kazi anakwambia "chagua Mke au kazi"Mkuu hapo kwa sasa wewe ndio unatakiwa utafute kibarua kingine maana kama wife ana mkataba wa kumtumikia mwajiri wake miaka mitano duh hapo pagumu
Wewe angalia uwezekano wa kupata another work hata mikoa ya karibu na wife kama arusha kule kulingana kazi yako
Ila ni mwajiri gani huyo asiyejua umuhimu wa mke na mume au familia kukaa pamoja