USHAURI TAFADHALI:mke kagoma kubadili dini yake

Ndiyo Umechelewa Sasa Hivi, Hapo Ndiyo Ukimstahi Mke Ndugu Huzai Naye.
* Timing Mbovu*
 
Wasalaam wandugu...
Kabla sijamwoa alinijua kuwa Mimi ni muislam,aliniahidi kubadili dini ila nimpe mda.maisha yamesonga miaka imepita tumejaaliwa kuwa na familia
Siku za hivi karibun mwenzangu nikaona amenunua kitabu Cha tenzi za rohoni ...baada ya chakula cha jioni anaanza mapambio ndani...anakemea mapepo juzi Kati kaenda kanisani na kujitambulisha ameokoka.namuuliza mbona unavunja makubaliano anadai yeye uislam hauwez...niko njia panda hapa nawaza watoto ...sijui nifanyaje.wazazi wake hawanipi ushirikiano wowote.nisaidien tafadhal
Tukusaidie nini?
 
Bro barabara inakona mbili tu, kushoto au kulia, toka njia panda utagongwa
 
Mbona mnapendaga kujitesa sana wakati solutions ziko very open?.....

Kama kavunja makubaliano ya mwanzo basi piga chini kama na wewe huwezi kubadili dini.....

Simple like that, maisha yenyewe haya mafupi ya nini kuyafanya yawe magumu?....
Unforgetable
Yani watu waliopendana waachane kisa midini ya kurithi?
 
Mkuu.

Hapa usitumie hasira, relax hakikisha unatuliza Akili kudeal na hili Jambo.

Ukweli ni kwamba ulifanya makosa kukubali kuoa Binti asiye wa dini yako, Sasa Kama ni plan, you need to deploy plan B.

Nisipoweza kushauri ni hapa kuhusu watoto, ni wazi watatanga Sana.
Kwamba akioa wa imani yake au akimslimisha hela zitajileta au sio?
 
Nina mfanyakazi wangu wa kike mama ake ni mkristo hadi kesho lakini babake alikua muislam,hivyo kila mtu abaki na dini yake cha msingi ndani muheshimiane sio kuleteana itikadi za dini zenu ndani,regarding tu kila mtu kashatambua japo kduchu misingi ya dini ya mwenzake na lengo ni moja ambalo ni kmutafta mungu tu.

Kwa swala la watoto watachagua wenyewe waende wapi kna watakao kufata wewe na wengine watamfata mama yao hakna tatizo,linda moyo wako tu mwili achia ulimwengu.
 
Mbona mnapendaga kujitesa sana wakati solutions ziko very open?.....

Kama kavunja makubaliano ya mwanzo basi piga chini kama na wewe huwezi kubadili dini.....

Simple like that, maisha yenyewe haya mafupi ya nini kuyafanya yawe magumu?....
Unforgetable
Lakini kumbuka wote wanamuamini Mungu mmoja sa kivipi watengane kisa dini?
 
Back
Top Bottom