USHAURI TAFADHALI:mke kagoma kubadili dini yake

..............Kosa mnalofanya vijana kwa nyie wenye dini zenu ni kuendekeza tamaa za mapenzi bila kuangalia athari za baadae,hakuna mtu atakubali kubadili imani yake kwa jambo la kijinga kama ndoa kwani wa imani yake hawapo/hawaoni?

Owa wa imani yako hata huyu atakaekudanganya leo anabadili anakuwa na target zake mje kugawana mali baadae etc so njia nzuri na bora ya kujenga familia iliyokamilika ni kujenga na mwenzi mnaendana kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ndoa ni jambo la kijinga dogo?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulimuoa sababu ya dini au mapenzi,na inaonekana mna muda mrefu kwenye mahusiano yenu sasa kwanini iwe sasa ndo ikuumize,naamini ametenda mazuri mengi ya maana kuliko hilo la kubadili dini.
Amini kwamba kuna watu wa dini yako unaohisi watakuletea familia ya furaha kwa sababu mko dini moja ila la hasha unaempenda hutajali hana hela,dini yake na vinginevyo.(wafikirie watoto katika hili)

MPENDE YEYE SIO DINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila mtu abaki na dini yake, inaonekana hata wew dini sio ishu kwako,maana ungekuwa mtu wa dini ungembadili pale mwanzo ila kaona wew mwenyewe huna ishu na dini ndio maana karudi nyumbani.
 
Ulishindwa kumshawishi kwa uislam wako ....
Hapo achaneni mtafute namna ya kulea mtoto au wewe mfuate huyo mwanamke
Chagua moja mkuu
 
Back
Top Bottom