Ushauri: Someni nyuzi za watu kwa makini

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,760
Reaction score
7,485
Baadhi ya watu humu JF hawasomi nyuzi kwa ukamilifu wake,na ama huanza kuziponda nyuzi au kuuliza maswali,ambayo majibu yake yapo kwenye hizo nyuzi.

Baadhi hukimbilia kujifanya wao wanajua hizo nyuzi kuliko hao walioandika nyuzi hizo.Huo ni utoto wa hali ya juu.Soma uzi mpaka mwisho,ukiwa na swali uliza,ama kana una mchango toa,haina haja kutokosha matusi
 
Baadhi ya watu humu jf hawasomi nyuzi kwa ukamilifu wake,na ama huanza kuziponda nyuzi au kuuliza maswali,ambayo majibu yake yapo kwenye hizo nyuzi.Baadhi hukimbilia kujifanya wao wanajua hizo nyuzi kuliko hao walioandika nyuzi hizo.Huo ni utoto wa hali ya juu.Soma uzi mpaka mwisho,ukiwa na swali uliza,ama kana una mchango toa,haina haja kutokosha matusi
Maneno yakiwa meeengi hatusomi. We just get the gist.
 
Baadhi ya watu humu jf hawasomi nyuzi kwa ukamilifu wake,na ama huanza kuziponda nyuzi au kuuliza maswali,ambayo majibu yake yapo kwenye hizo nyuzi.Baadhi hukimbilia kujifanya wao wanajua hizo nyuzi kuliko hao walioandika nyuzi hizo.Huo ni utoto wa hali ya juu.Soma uzi mpaka mwisho,ukiwa na swali uliza,ama kana una mchango toa,haina haja kutokosha matusi
Huwezi kupangia watu jinsi ya kutumia muda wao, pia mwingine anaweza kujibu au kuongelea heading uliyoweka au chochote katika content ya ulicholeta, kwahio kila mtu anaweza kuongelea perspective yake cha kufanya wewe usiwe na hasira bali kujibu hoja kama inavyokuja...

Kwahio ushauri tumia Occam Razor, na epuka kuandika magazeti kama hoja inaweza kufikishwa kwa neno moja kwanini utumie matatu? Mara nyingine heading tu inatosha kuleta ujumbe hivyo body ni kujazia nyama na sio heading inaongelea hiki na content kile....
 
Nimempita mtoa post analia sana na kutapika
kutokana na comment za baadhi ya ajuza humu sema hajajua kama mkizeeka sana alili zinarudi matterkoni,
 
Huwezi kupangia watu jinsi ya kutumia muda wao, pia mwingine anaweza kujibu au kuongelea heading uliyoweka au chochote katika content ya ulicholeta, kwahio kila mtu anaweza kuongelea perspective yake cha kufanya wewe usiwe na hasira bali kujibu hoja kama inavyokuja...

Kwahio ushauri tumia Occam Razor, na epuka kuandika magazeti kama hoja inaweza kufikishwa kwa neno moja kwanini utumie matatu? Mara nyingine heading tu inatosha kuleta ujumbe hivyo body ni kujazia nyama na sio heading inaongelea hiki na content kile....
yale yale
 
Back
Top Bottom