Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,942
- 27,464
mbona kama unamshambuliaBro usitupangie......
mbona kama unamshambuliaBro usitupangie......
Kweli Mdau.Baadhi ya watu humu JF hawasomi nyuzi kwa ukamilifu wake,na ama huanza kuziponda nyuzi au kuuliza maswali,ambayo majibu yake yapo kwenye hizo nyuzi.
Baadhi hukimbilia kujifanya wao wanajua hizo nyuzi kuliko hao walioandika nyuzi hizo.Huo ni utoto wa hali ya juu.Soma uzi mpaka mwisho,ukiwa na swali uliza,ama kana una mchango toa,haina haja kutokosha matusi
asanteKweli Mdau.