Ushauri ; smart phone with best battery life

Ushauri ; smart phone with best battery life

Mm hiyo simu nataka ninunue nataka nijue vitu vifatavyo.....

1.haina tatizo la kupata moto
2.Ubora wa camera
3.Na jee haina tatizo la ku lag

Baba nimejarb kutafta tatzo hata moja nikupe, nimekosa, labda tatzo la uwembamba , ila hzo ulizotaja hakuna hata moja, hata kukarbia
 
yaaan namaanisha km hupend simu nyembamba, bas hii haitakufaaa
 
Nimeagiza Xiaomi Redmi note 4 aliexpress kwa $ 161 (plus shipping costs) kwa Top rated seller kule itakuwa Bongo by 25 april 2017....
Mkuu! Ukiishaiweka mkononi nitakucheck unipe mwongozo nami niipate.
 
Mkuu! Ukiishaiweka mkononi nitakucheck unipe mwongozo nami niipate.
Kesho jioni nichek maana majaliwa kesho mchana naenda kuichukua

Screenshot_2017-04-18-20-33-03.png
 
Dah nina sumsung galaxy s3 ya kitambo kidogo. Betri Ime collapse kabisa. Naweza pata betri og na kwa bei rafiki?!
 
Zinazopatikana hapa Tanzania ni kampuni za Asus, ZTE, Lenovo, Samsung, Sony, Xiaomi, Oukitel na Gionee, kama ya kununua nje ya nchi siyo lazima uagize kutoka Asia au Ulaya, hata kwa jirani zetu Kenya zinapatikana, ikiwezekana hata Nigeria.
Mkuu! Hizo Gionee na Oukitel hapa tz naweza zipata wapi na vipi price zake?
 
Mkuu! Hizo Gionee na Oukitel hapa tz naweza zipata wapi na vipi price zake?
Gionee utazipata kwenye maduka ya mtandao wa Smart Tanzania na maduka ya Kariakoo, Oukitel utazipata maduka ya Kariakoo.
Kuhusu bei, inategemea na model ya simu unayotaka, kujua bei ya simu unayotaka, ingia google, andika jina la simu, likifuatiwa na neno price, au ingia amazon au eBay au alibaba au gearbest au banggood, andika jina la simu unayotaka, utaona bei.
 
Back
Top Bottom