Ushauri: Siwezi kumaliza wiki moja bila kumtongoza mwanamke

Ushauri: Siwezi kumaliza wiki moja bila kumtongoza mwanamke

Unawatongoza tu unawaacha au unakwichi kwichi nao kabisa
 
Umeamua kufanya uhamuz wa hekima kwamana usipo acha mapema utaishia jehanam kwenye fire nibola ujisalimishe mwenyewe kwa Mungu wako kaombe msamaa nae atakusamee na kwakua utakuwa unatambua kuwa anakuona kwakila unacho fanya' hiyo itakuwa nijia ya kuacha iyo tabia
 
Kamjaribu Mange Kimambi labda majibu yake yanaweza kuwa dawa yako ya kuacha tabia hiyo
 
Naomba ujibu maswali haya plz yawezekana majibu yapo ndani
UMRI WAKO
KABILA LAKO
UNAPOISHI
ELIMU YAKO
KAZI YAKO
 
Naomba ujibu maswali haya plz yawezekana majibu yapo ndani
UMRI WAKO
KABILA LAKO
UNAPOISHI
ELIMU YAKO
KAZI YAKO
Umri 25,
Kabila mhehe,
Naishi iringa,
Elimu bachelor degree
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom