Ushauri: Siwezi kumaliza wiki moja bila kumtongoza mwanamke

Ushauri: Siwezi kumaliza wiki moja bila kumtongoza mwanamke

Siku zote mazoea huwa tabia. Imeshakuwa tabia yako hiyo bila kuikataa hiyo hali itakuwa ngumu kuibadilisha.
 
kwa akili za haraka.. hujawahi kuishi na demu ndani zaidi ya siku tatu... kinachofanya uwe hivyo ni nyege... na nyege hufanya upende kila demu.. cha kufanya em jaribu kulala na demu wako kama wiki hv uone kama kuna jipya!
Nyege hizo.....
 
Kuna aina nyingi sana ya roho za ibilisi katika maisha ya binadamu
Tena unaweza teseka kwa muda mrefu bila jua ni ibilisi ndo anae kutesa
Mwisho wa yoote nia kubwa ya ibilisi ni kukuangamiza .
Wakeup usidhani hii hali ni ya kawaida
Hii ni stage moja na usipozinduka madhara yake ni mabaya sana.
NGUVU YA MAPEPO INA ANGLE NYINGI SANA SI RAHISI KUZITAMBUA
 
Endelea tu hiyo ni service ya mdomo ...na umejijengea utaratibu mzuri maana itakusaidia hata kuondoa kaharufu kamdomo,tofauti na sisi tunaokaa mwaka hatujatongoza tunasubiri mipira iliyokufa
 
UNAHITAJI MAOMBI. HIYO NI DALILI TOSHA YA KUWA NA MAPEPO
 
Kuna aina nyingi sana ya roho za ibilisi katika maisha ya binadamu
Tena unaweza teseka kwa muda mrefu bila jua ni ibilisi ndo anae kutesa
Mwisho wa yoote nia kubwa ya ibilisi ni kukuangamiza .
Wakeup usidhani hii hali ni ya kawaida
Hii ni stage moja na usipozinduka madhara yake ni mabaya sana.
NGUVU YA MAPEPO INA ANGLE NYINGI SANA SI RAHISI KUZITAMBUA
Amen, suluhisho ni kumkimbilia Mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom