Ushauri: Siwezi kumaliza wiki moja bila kumtongoza mwanamke

Ushauri: Siwezi kumaliza wiki moja bila kumtongoza mwanamke

Yaani mpaka nimesahau kutongoza, siku izi ni makubaliano tu, " vipi usiku wa Leo shingapi? Elfu kumi" kwisha maneno.
Mkuu ukitongoza unakula free,
Sasa we unatumia hela kuwapata
 
Siumtongoze huyo mchumba wako kila baada ya siku sita uridhike
Cha msingi ni kubadili namba na kuanza kumtongoza.
 
Una mchumba halafu bado unatongoza..kumbe uliye nae huridhiki?? Ukiwa nae huyo unapungukiwa nini jombaa...?? Kuwa makini sana...

[HASHTAG]#MichepukoHaifaiBakiNjiaKuu[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom