Ushauri: Siwezi kumaliza wiki moja bila kumtongoza mwanamke

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,

Nahisi sasa huu umekuwa ugonjwa sugu kwangu.

Kila nikijitahidi kuacha mashindwa kuvumilia, yani bora nitafute namba from nowhere ili nitongoze. Nina mchumba wangu yupo mbali il hata akiwa karibu, bila kutongoza huwa nakosa amani kabisa moyoni.

Naombeni ushauri jinsi ya kuacha hii tabia.
Kijana fatuta maisha kama wangekua wanakua watamu usinge wakuta mpaka leo,angalia sana ipo siku utatongoza utaishia pabaya na hutosahau maisha yako au hata kuishi pia utaona hustahili,tafuta maisha au rudi shule...
 
Yani unashangaa kutongoza mara moja kila wiki na wale wanaopiga kila siku tena kitu kipya!...Ndio uanaume huo mkuu!
 
Kijana fatuta maisha kama wangekua wanakua watamu usinge wakuta mpaka leo,angalia sana ipo siku utatongoza utaishia pabaya na hutosahau maisha yako au hata kuishi pia utaona hustahili,tafuta maisha au rudi shule...
Pesa kwanza
 
Mie naomba kujua hivi ukitongoza huwa unafanikiwa au? Na je kwa uliofanikiwa kuwapata(kama wapo) huwa mnaishia hatua ipi?
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,

Nahisi sasa huu umekuwa ugonjwa sugu kwangu.

Kila nikijitahidi kuacha mashindwa kuvumilia, yani bora nitafute namba from nowhere ili nitongoze. Nina mchumba wangu yupo mbali il hata akiwa karibu, bila kutongoza huwa nakosa amani kabisa moyoni.

Naombeni ushauri jinsi ya kuacha hii tabia.
Sasa mkuu naona Mimi ndy mgonjwa zaidi yako...sijuwi nikushauri VP? Maana Mimi kila week nagegeda demu mpya...sasa naona wewe unayeishia kutongoza tu.....sijuwi nikushauri nn...dawa yake VAA MIWANI mweusi..kama STEVE WONDER... usione..
 
Sa kugegeda ishu nyingine hiyo, ila we ni next level
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,

Nahisi sasa huu umekuwa ugonjwa sugu kwangu.

Kila nikijitahidi kuacha mashindwa kuvumilia, yani bora nitafute namba from nowhere ili nitongoze. Nina mchumba wangu yupo mbali il hata akiwa karibu, bila kutongoza huwa nakosa amani kabisa moyoni.

Naombeni ushauri jinsi ya kuacha hii tabia.
unapotongoza unawapata au unatumia kutoa nuksi ya mdomo mkuu
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,

Nahisi sasa huu umekuwa ugonjwa sugu kwangu.

Kila nikijitahidi kuacha mashindwa kuvumilia, yani bora nitafute namba from nowhere ili nitongoze. Nina mchumba wangu yupo mbali il hata akiwa karibu, bila kutongoza huwa nakosa amani kabisa moyoni.

Naombeni ushauri jinsi ya kuacha hii tabia.
Fanya ibada mrudie aliyekuumba seriously afta week utaona mabdiliko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom