Nimekuita nikupe ushauri mtamu jmnYani acha tu ndugu yangu tembea uyaone yani kwajinsi ninavyojiweka ingekuwa ni mwanaume mwingne kwajinsi ninavyowajua ingekuwa kila dk anataka mzigo hata kazini nahisi angekuwa anachelewa
Kimpango kabisaMzee unataka kula kimasikharaπ€£π€£π€£π€£
Nacho ni kupelekewa motoπ€£Acha tu Bora asiache ela ya matumizi nitavumilia Ila anipelekee Moto Kama ni vyakula kwetu nimeviacha vingi tu huku kwenye ndoa nmefata kitu kimoja tu
Sasa kwanini amenioa alafu anikinai angeniacha niolewe na wengine huku ni kutesana tu hakya munguMtahubiri sana tu...
Jamaa keshamzoea sana anamuona wa kawaida tu hana jipya!
Itahitaji approach ya kisaikolojia ili kumrudisha kwenye mstari!
Haya sasa ndio maneno kuntu. Kwa mume umefuata de liboloπAcha tu Bora asiache ela ya matumizi nitavumilia Ila anipelekee Moto Kama ni vyakula kwetu nimeviacha vingi tu huku kwenye ndoa nmefata kitu kimoja tu
Dadadeki ebu njoo DM tuyajenge acha kuteseka wakati tunaojua kazi kwenye tasnia ya mahaba na .nyanduo tumejaa tele kama pishi la mchele njoo DM fasta sana.Habari za majukumu?
Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.
Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.
Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.
Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!
NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.
Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.
Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
Tena unaweza kuta mtoto anampikea mumewe akiwa amavaa sidiria na kyupi tuu. Ingekuwa mie nmbona tunge gegedana sehemu zkte za nyumbaDaah mtoto kaiva hana wa kumla lololooo
mzabzab π€£
Tatizo inakera sana yani Kama hapa nimezidiwa alafu mwenzangu ndo kwanza anakoroma napata hasira mpaka linanijia wazo nimuangushie hata kabatiMbona una ongea kwa gadhabu namna hii
Mtoto mwenyewe mbona tumempata ndani ya ndoa Kama hana hisia kwanini alinioa sasaUlilazimisha ndoa. Mwenzio hana hisia nawe anaoshi tu kwa ajili ya mtoto
Na Mimi nahisi kalogwa maana Kuna wanaume nawafahamu Wana michepuko Hadi mitano lakini bado wakifika nyumbani wanatamani tena kufanya na wake zao Ila huyu dah! Mpaka nikikaa nawaza alichezea tu ela yake kwenda kulipa mahari maana hata hamna anachokifanya kwangu zaidi tu ya storyHuyo mwanaume karogwa na mchepuko.
Hakuna mwanaume ambaye hasisimki akiona mapaja ya mwanamke.
Hata paja la mwanamke chizi tukiliona lazima tudindishe.
1. Karogwa na mchepuko
2. Nguvu za kiume zimemkatikia.
Je, hiyo hali imeanza tangu tu mlipooana?
Nitakutafuta kesho bosi kuna ishu fulani hivi.Wakuu nitumeni basi nikasuluhishe hii ndoa?π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£aaah wapi umenisusa mazima au umepigwa pini?Nitakutafuta kesho
Niliogopa! π³ππππ€£π€£π€£π€£aaah wapi umenisusa mazima au umepigwa pini?
Tii moyo wako uko sahihiNiliogopa! π³πππ
Kama anabeti sana Tatizo kuu liko hapoKwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Jichue tu for good,Yani acha tu heka heka haziishi kilichobaki hapa nataka nianze kutafuta dawa ya kukata nyege ili tubaki tu na amani tulee mtoto maana bila hivyo naweza jikuta nimechepuka Jambo ambalo litafanya nijidhalilishe na kuivunja ndoa kwa mikono yangu Bora nifanye mpango na Mimi nisiwe tu na hisia tuishi wote Kama magogo