Ushauri: Rais Samia teua wanawake kuwa watendaji wakuu wa TRA na Bandari ili kuleta ufanisi

Mwanamke anaepokea ni yule asiyekuwa na mwanaume, anajihudumia yeye watoto na wazazi, extended.
😁😁 umerudi mule mule ya kuwa mwanaume ndo nguzo ndyo maana mwanamke anayepokea ni yule asiyekuwa na mume. Kiufupi ni kuwa mwanamke hajawahi kuridhika hata leo umpe Harrier akipanda V8 ya shoga yake kesho kutwa atahitaji awe nayo kwa njia yoyote ile. Akienda nyumbani kwa shoga yake akakuta oazidiwa muonekano wa nyumba basi ujue lifuatalo si jema ili amzidi.
 
Hiyo ni nadharia yako TU. Mwanamke anatabia ya kutaka sifa, atafanya vizuri ili asifiwe, hatakula rushwa wakati Kuna kero ya maji, umeme, shule, utallii, nk, atafanya vizuri kuogopa kusemwa, kubezwa, kudhalillika. Atafanya vizuri aonekane ni Bora kuliko mwanaume.
 
Waziri wa maliasili na utalii, waziri wa mambo ya nje, waziri wa afya, wazir wa ardhi, waziri ndalicha..., waziri gwaji... n.k wamefanya yapi ya maana kuwazidi akina Aweso, Mbalawa, na lukuvi enzi zake ?
 
Kipimo Cha kuwakulinganisha kitakua ni nini?
 
TRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana.

Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana. Wanaume wana ujasiri wa kijinga kabisa.

Wizara ya ujenzi weka watu kama Stella Manyanya na wenzake wa aina hiyo. Hutajutia kuwapa nafasi hizo.
Mwizi ni mwizi tu. Awe anavaa suti na tai nyekundu na kunukia vizuri au awe na anavaa madela na magauni ya bei mbaya. Wizi ni roho na ipo kwa yoyote.
 
Sio kweli, wanaume Wana ushujaa wa kijinga wa wanawake wengi, kuhonga na nakupenda sifa. Mwanamke anaiba pale TU akizidiwa na mambo ya kifamilia. Wanawake Wana aibu kuliko mwanaume, ndio maana huwezi kumuona mwanamke anakojoa njiani ovyo kama wanaume
 
Back
Top Bottom