Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Ushauri: Rafiki yangu anahamia Dodoma, mke anabaki Dar

Ubezea

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
1,232
Reaction score
632
Habarini wadau,

Nina rafiki yangu anahamia Dodoma sasa mke wake yupo benki hapa Dar es salaam kwahiyo anataka kumuhamishia huko Dodoma.

Tatizo nafasi kwenye hiyo benki hamna na anaogopa kuwa ikiwa atamuacha Dar es Salaam watu wanaweza kuanza kumla.

Sasa afanyeje maana amejaribu kuuliza uhamisho imekua ngumu.

Mrejesho; yule jamaa anatakiwa aende dodoma tarehe 31 january ndo uhamisho wake unaanza....Mpaka sasa bado anajiuliza itakuwaje
 
Aache mawazo hasi bwanaa,.watu wanaenda mashariki za mbali huko sembuse Dom,hapo ukisikia "paa" unaweza fika fasta kujua nini mbaya,..wafanye kazi wajipange tuu jinsi ya kuepuka changamoto baaaasi maisha yaendelee,..ishu ya kuliwa mkewe hata wakilala kitanda kimoja daily akiamua kuliwa ataliwa tuu labda afungwe mabomu mwilini....cha msingi ni UAMINIFU na HESHIMA tuu kwao wote wawili na kujua kwamba wako kutafuta riziki hayo mengine ni part and parcel ya maisha.
 
Kwan akiwa nae huko ndo hawez kuliwa? Mwambie hivi

Mwanamke hatulii mpka aamue kutulia.

Mwanaume hatulii mpk atulizwe... kuliwa au kutokuliwa ni maamuz ya mliwaji mwenyewe
Sawa....lakin unajua benki vishawishi vingi hivyo ndo mana anataka awe naye karibu
 
Aache mawazo hasi bwanaa,.watu wanaenda mashariki za mbali huko sembuse Dom,hapo ukisikia "paa" unaweza fika fasta kujua nini mbaya,..wafanye kazi wajipange tuu jinsi ya kuepuka changamoto baaaasi maisha yaendelee,..ishu ya kuliwa mkewe hata wakilala kitanda kimoja daily akiamua kuliwa ataliwa tuu labda afungwe mabomu mwilini....cha msingi ni UAMINIFU na HESHIMA tuu kwao wote wawili na kujua kwamba wako kutafuta riziki hayo mengine ni part and parcel ya maisha.
Tanx ushauri mzurii
 
huyo mume bila shaka anafanyakazi wizara Fulani inayohamia Dodoma,but good thing namkaribisha jamaa dom
 
Back
Top Bottom