Ushauri: Rafiki yangu anafanya mapenzi ya jinsia moja

Ushauri: Rafiki yangu anafanya mapenzi ya jinsia moja

Kapicha tafadhali, tutaaminije?
funniest-people-of-walmart-01.jpg
 
1.mu-unfollow kila sehemu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Natania..
Kama ana nia ya dhati basi ataacha, mshauri umpeleke hosptal kwa wataamu wa afya na saikolojia atakua poa tu.. Mpe hongera kwa kuacha...
 
Naamini anayeongelewa ni mwanaume.Sasa inakuwa ngumu kushauri kwani kwa maono yangu maelezo hayajitoshelezi.Ana ushoga wa hormone au wa kutestiwa na kuzoea ?anapigwa au anapiga au both ? For how long amejihusisha na mambo hayo?
 
Nina rafiki yangu ambaye urafiki wetu una muda mrefu kidogo na amenizoea sana amekuwa akiniomba ushauri kwa lolote yuko huru nami namuona kama mtu wangu wa karibu sanaa. Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa huyo rafiki yako anajihusisha na mapenzi na watu wa jinsia yake, mimi sikuamini nikajua ni umbea tu wa watu nikapuuzia ila cha kushangaza juzi yeye mwenyewe kaniambia.

Akasema una kifua! Kuna kitu nataka nikwambie nikasema sema chochote usiwe na shaka akaniambia dada yangu unajua kuwa mimi ni shoga dahh nikapatwa na mshangao kwanza nilijua ananitania ila akasema huo ndio ukweli ila akasema kwa sasa ana miezi mitatu hajafanya mchezo huo na akaniomba mie nimsaidie ili aache tabia hiyo eti ataiacha kabisa endapo nitakuwa upande wake na ukimuona huwezi jua kama anafanya huo mchezo jinsi alivyo ni tofauti sana na matendo yake nimsaidiaje best yangu huyu.
ww c nilikuuliza kuwa unakifua ukasema niseme tu ?? nn sasa hichi unakifanya huku? utanitambua sasa
 
sasa mbona umesaliti makubaliano yenu? alisema una kifua? ukasema sema tu usihofu. mbona umetwambia sasa kua rafiki yako ni shoga?
 
Back
Top Bottom