ushauri plzzz!!

Mi nadhani waalimu na ustawi wa jamii wanawezakusaidia zaidi! Demu kanogewa na kibolibo cha mwenzie!
 
mmmmh yani Lady N kwa hali hii hawa watoto watawatoa wazazi wao roho kwa pressure heb imagine its only few dayz zimebaki kumaliza shule!so sad
wewe acha tu mate! nikiisoma hii pots na nina mdogo wa kike naye anategemea kufanya mtihani oct, damu inanicheza!
 
hapo ni kuweka mbele nidhamu ya shule kwa kuonyesha mfano kwa wengine ili wasije kuiga tabia kama hiyo na hiyo ni kwa mujibu wa sheria za wizara ya elimu tukiacha haya mambo utakuta wanafunzi wote wanaishia kuzaa wakiwa sekndari na njia ya kukomesha ni kuchukua hatua kali mojawapo ikiwa ni kufukuzwa shule na vilevile wakirudi nyumbani wazazi nao wawatimue wakajitegemee si wanajiona wakubwa

FD una watoto?? Adhabu nyingine ni kubwa sana mkuu... Hazichukuliki.... Maji yakimwagika hayazoleki...

BTW... swali la kizushi.... Funza Dume yukoje?:confused2:
 
Back
Top Bottom