Ushauri wa Acid bomba, ila pia watafutwe wakipatikana maamuzi mengine yafanyike. Kwa mfano kama mtihani ni okt, huyo mama atajifungua baada ya okt afanye mtihani ili aweke future yake. Hata huyo kijana afanye mtihani wake pia ili kuandaa maisha yake ya baadaye. Kupata mimba sio mwisho wa maisha, bali ni udhaifu tu wa kibinadamu ambao kila moja anaweza kuteleza kama si leo kesho. Ila hatua za kisheria zinaweza kufuata baada ya mtihani.
Ushauri hao vijana wakipatikana wahakikishiwe usalama wao. Pia wahakikishiwe kuwa watafanya mtihani.
Lakini pia si mwanzo mzuri wa maisha.
Taarifa zitolewe panapohusika kama acid alivyoshauri. Suala la kufanya mtihani litategemea hisani, kisheria kutoroka shuleni ni kosa la kufukuzwa hasa katika mazingira yaliyoelezwa! Kama akiruhusiwa kufanya mtihani ni kukamilisha 'ratiba'' maana serious student hawezi kuwa anahangaika na ngono wiki chache kabla ya mtihani tukategemea mazuri. Akipatikana suala la muhimu ni kujenga nidhamu yake kwa maisha ya baadaye na kichanga chake kama kipo.
nakubaliana na ushauri wa acid, lkn pia mwabie huyo shost yako ahakikishe wanapaitika na wanfanya mitihani
Ila vijana mnawapa pressure wazazi jamani!?
mie natoa ushauri kwa uongozi wa shule anayosoma kuwa pindi watakapopatikana wafukuzwe shule mara moja na hakuna kufanya mitihani kwani ataharibu matokeo ya shule kwa kuongeza idadi ya zero ni bra matokeo yasome "absent" kuliko miswaki tupu
kuwapa nafasi ya kufanya mitihani ni kosa kwani kosa lao ni kubwa na ni la kufukuzwa shule wafukuzwe mara moja ili iwe mfano kwa wanafunzi wengine na kukomesha tabia hiyo na kuendeleza nidhamu
mie natoa ushauri kwa uongozi wa shule anayosoma kuwa pindi watakapopatikana wafukuzwe shule mara moja na hakuna kufanya mitihani kwani ataharibu matokeo ya shule kwa kuongeza idadi ya zero ni bra matokeo yasome "absent" kuliko miswaki tupu
kuwapa nafasi ya kufanya mitihani ni kosa kwani kosa lao ni kubwa na ni la kufukuzwa shule wafukuzwe mara moja ili iwe mfano kwa wanafunzi wengine na kukomesha tabia hiyo na kuendeleza nidhamu
sio hivyo Nyamayao nidhamu lazima ishike mkondo wake ndio maana siku hizi maadili yameshuka sana mashuleni na kwa taifa zima kosa la kutoroka shule kipindi chote hicho na kufanya mapenzi na kupeana mimba ni kosa kubwa sana tena adhabu yake inatakiwa iwe zaidi ya kufukuzwa shulemhhh wakati mwingine unakuwa kama sio mzazi vile.
mbona umeshangaa sana askofu au hujasoma seminari zenye adhabu kama hizo?Duh...:confused2::confused2:
sio hivyo Nyamayao nidhamu lazima ishike mkondo wake ndio maana siku hizi maadili yameshuka sana mashuleni na kwa taifa zima kosa la kutoroka shule kipindi chote hicho na kufanya mapenzi na kupeana mimba ni kosa kubwa sana tena adhabu yake inatakiwa iwe zaidi ya kufukuzwa shule
Hivi wenzangu mmesoma shule gani? mimi shule niliyosoma kama ukichelewa siku 3 tu baada ya kufungua inapigwa sansipesheni sasa hao waliotoroka kungonoka kumimbishana na kutega shule nadhani kwa ile shule yangu wangefukuzwa na kupelekwa polisi kabisa
Nyamayao ukiwa kama mzazi hapo unapendekeza adhabu gani shule ichukue? kuwa mkweli
ctetei kitendo cha vijana, wamefanya kitendo kibaya sana! na kumbuka kila mzazi anatamani mtoto wake akuwe kimaadili sema na huu utandawazi wa sasa watoto wanaharibikiwa mapema/vibaya sana.....kwangu mie hata wangepewa adhabu za viboko na kupewa onyo la mwisho kwamba wakirudia wanatimuliwa jumla...
mbona umeshangaa sana askofu au hujasoma seminari zenye adhabu kama hizo?
wameshadungana mimba sasa hapo kuna kurudia kosa tena maana kinachofuata ni kuzaliwa mtoto hapo wafukuzwe tu watakuja kujipanga akili zikikomaactetei kitendo cha vijana, wamefanya kitendo kibaya sana! na kumbuka kila mzazi anatamani mtoto wake akuwe kimaadili sema na huu utandawazi wa sasa watoto wanaharibikiwa mapema/vibaya sana.....kwangu mie hata wangepewa adhabu za viboko na kupewa onyo la mwisho kwamba wakirudia wanatimuliwa jumla...
hapo ni kuweka mbele nidhamu ya shule kwa kuonyesha mfano kwa wengine ili wasije kuiga tabia kama hiyo na hiyo ni kwa mujibu wa sheria za wizara ya elimu tukiacha haya mambo utakuta wanafunzi wote wanaishia kuzaa wakiwa sekndari na njia ya kukomesha ni kuchukua hatua kali mojawapo ikiwa ni kufukuzwa shule na vilevile wakirudi nyumbani wazazi nao wawatimue wakajitegemee si wanajiona wakubwaNimesoma FD, lakini kwa dunia ya sasa, ni bora waachwe wamalizie hiyo mitihani yao... afterall bado huyo dada atazaa tu na kuwa grounded for a looooooooooong tym... kumfukuza kwa muda huu sio suluhisho... Preventive measures ndo zinahitajika... ili kitu kama hicho kisitokee in future.