S sumni7 Member May 8, 2012 71 10 May 9, 2012 #1 Ndugu yangu form six amepata div 3 pnt 16 anaweza kuaply chuo kozi ya afya nisaidieni bios e chem e phys s bam s gs s
Ndugu yangu form six amepata div 3 pnt 16 anaweza kuaply chuo kozi ya afya nisaidieni bios e chem e phys s bam s gs s
B BGG Senior Member Apr 5, 2012 134 15 May 9, 2012 #2 unaweza kupata diploma in clinical medicine.kama upo interested let me know nikushauri zaidi
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 92,251 113,652 May 10, 2012 #3 Hizi E wameanza kuzitoa lini?
Chilli JF-Expert Member Jul 17, 2011 1,655 743 May 10, 2012 #4 Nyani Ngabu said: Hizi E wameanza kuzitoa lini? Click to expand... lini walikua hawazitoi? Au unafananisha A level na O level?
Nyani Ngabu said: Hizi E wameanza kuzitoa lini? Click to expand... lini walikua hawazitoi? Au unafananisha A level na O level?