Naomba ufafanuzi kuhusu elimu ya kitabibu

moud.com

New Member
Jul 22, 2015
4
0
Nina mdogo wangu amehitim kidato cha nne amepata division four ya 27.

CIV - D
HIST - D
GEO - D
E/D/KIISLAMU - D
KISW - C
ENGL - D
CHEM - D
BIO - D
B/MATH - F

Kwa alama hizo anaweza kusoma kozi gani ya maswala ya kitababi na ni chuo gani kizuri cha serikali?
 
Kutokana na ufaulu wake ni Pharmaceutical Science Tu Ndio Anaweza kusoma ,Vyuo Viko Vingi Karibia Kila Mkoa Sijui Wewe Unataka Asomee Mkoa Gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom