hivi wewe, huu uzi nimerusha tangu saa nne asubuhi unadhani mpaka saa hizi sijapata jibu nililokua nalitaka?
mi nshapata ushauri. Kuanzia saa nane watu wengi wanakua wamejichokea either na kazi or mengineyo so najua wanaishia kunitukana na siku zote mi huwa ukinitukana nakutukana tu.
hebu fungua uzi mwingine we vipi, bwabwa tu.
tukanaa we hadi uchoke wabongo si ndo mlivyo hata bungeni ni matusi.
hivi wewe, huu uzi nimerusha tangu saa nne asubuhi unadhani mpaka saa hizi sijapata jibu nililokua nalitaka?
mi nshapata ushauri. Kuanzia saa nane watu wengi wanakua wamejichokea either na kazi or mengineyo so najua wanaishia kunitukana na siku zote mi huwa ukinitukana nakutukana tu.
hebu fungua uzi mwingine we vipi, bwabwa tu.
tukanaa we hadi uchoke wabongo si ndo mlivyo hata bungeni ni matusi.
ushauri tosha,ni ushauri uliojaa ukweli mtupu, mwenye mada zingatia ushauri huu,Pole. Usione wapenzi wameshikana mikono njiani ukadhani wanapendana sana. Wengi wana pretend. Toa kasoro zilizopo kwenye ndoa yako na ikiwezekana jitathmini na kujikagua muone mlikosea wapi.
Dah, nimeshindwa kucomment, pole sana inaonekana umechooooooooka mbaya hasa kwa sentensi yako ya mwisho, dah!!
ushauri tosha,ni ushauri uliojaa ukweli mtupu, mwenye mada zingatia ushauri huu,
hiyo comment yako sina uhakika kama umeipaste from somewhere or umeiandika from your head.
nina doubt tu maana mh
Unajua mtoa mada tayari anajua cha kufanya kwani kila aliejaribu kumpa ushauri yeye hauafiki. Pengine wengi tumeshindwa kuielewa mada hasa mimi binafsi.
[COLOR=#333333 said:ayanda[/COLOR];6407468]
huu ndio upumbuvu wa wenye akiri nyingi.
kwani hapo si nimeuliza swali? watu wananipa ushauri inform of answers we bwabwa hebu nipishe bana
Wewe bana sema tu unataka kuvunja ndoa ili uanze kuwa changudoa; sababu kibao, huna lolote.....nenda mama, hata ukitaka kuuza kwa sh. 50 si yako? usisingizie jamaa sio mkali, mara simzimii, mara ooh watoto.....!
Kumbe angecheat kisomi/ kitaalam usingejali. Maisha ya ndoa hayajengwi kwa misingi ya kuogopana , hiyo kutompa respect dada siku ukiamua utampa. Sasa unataka huyo wa 42 kisa yuko matured kwani uliolewa na wa 22 au. Anyway follow your intuitive.kwakweli sieleweki.
mi kucheatiwa sio ishu, ishu ni kwamba alicheat kijinga sasa nikagundua then nikamdharau na kunuona less of a man ( mwanaume wa ukwee hafumaniwi hata kwenye cmu).
ishu ni kwamba, simfeel sababu ninashindwa kumuogopa wala kumpa respect as a man and head of a family.
hiyo ndo hasa sababu.
simfeel tena hubby na ni wazi na yeye hanifeel. Cheatings zake zilinivuruga sana mwaka jana na juzi nilikua kama kichaa hivi ungeniona.
ila sasa nilishatadhimini, nikagundua kwamba hanipendi maana huwezi cheat live kiasi kile. Na mie nilikua sina mapenzi sanaaaa kwake tangu enzi za uboy/ugal friend ila nilijua nitampenda sana tu kama atanitreat vema, kumbe maybe na yeye alikua anataka sex tu, maana tuliona baada ya kuzaa mtoto.
Hii ndio huwa inamaliza mzuka wa mapenzi katika ndoa as well as katika mahusiano ya kawaida NOW I KNOW WHAT U MEAN Girl
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
bado wewe,unaolewa lini?usinisahau kadi mie,pia jamaa akikucheat uje nikupe ushauri shost
leo umekuwa mpole best! Mambo vp? Ni aje? Unakumbuka tulishawahi kuchat kipind fulan kuhusu ishu kama hii lkn hatukuelewana, ukasema unachoangalia ni watt, na gud relations na wanajamii.HAPANA dear mi siwezi tukanana na wife ya mutu bana, mi nakula changu kwa muda wangu. Matusi ya nini bana!
sina uwezo wa kuvuruga ndoa ya mtu, the fact huyo jamaa ananingangania then definately hiyo ndoa imeshavurugika ila hawajui tu.
sina muda wa kutukanana na pia mi sio teenager
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.
Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.
Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.
jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.
ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
Bado niponipo xana,wakuolewa atakuwa nikiwe?najilia zangu maisha nikichoka starehe nitazaa ka baby boy kamoja ka kurithi mali zangu
Haya jamani nimeshapata ushauri nilioutaka and thanx to all good men and women kwa kunipa ushauri wenu chamber.
Mnaojiskia kuendelea kusoma uzi wangu endeleeni, pia mnaojisikia kutukana tafadhali tukaneni hadi mshipa iwatoke, mtafanyaje na uchumi wenyewe mgumu, toeni stress zote kwa ayanda.
Jioni njema, nina mengine ya kufanya
mh! Cjui ndio mfumo dume...
Kwan ukizaa baby girl hatarithi mali zako?