Ayanda(wa isdingo?) pole sana dada yangu.
Sijui umri wako labda nigekuwa more specific katika ushauri wangu lakini nawezahata hivyo kukusahuri machache nikianza na hili kuwa "divorce is very rarely the solution".
Sina uhakika kama unapenda kusoma vitabu- sasa hivi nasoma kitabu kimoja kinaitwa " Tough Times Never Last But Tough People Do!
By Dr Schuller. Ni kitabu kizuri kinazungumzia mambo mengi ambayo yangekufaa ukiwa hapa ulipofikia. Anasema "When you think you have tried all alternatives remember one thing you have not"
Katika kitabu hiki anazungumzia anachokiita 'Possibility thinking' try it huenda kikakusaidi katika wakati huu mgumu
acha kujifariji sababu hujapata mchumba hadi wa leo.
Ndoa ni nzuri sana best, acha kujifariji unaposikia majanga kama haya yangu.
pIA hao kina X na Z ndo nani? mi sina mpango na mwanaume yeyote.
hujanielewa
Poor gal. Maybe you need a break from each other. Kama holiday. Unajua sisi Waafrika hatuna desturi ya kupeana breaks. Unapokuwa mbali na mwenzio unakuwa una miss kitu ndio maana hata walisema 'ABSENCE MAKES THE HEART FONDER'. I believe you do not have enough grounds to file for divorce. Mlani shetani mpenzi wangu.
ulisema mwenyewe kuwa kunauliyekuwa nae b4 abae yuko 42 now na bado anakuhitaji ingawa anawatoto watatu au sivyo?
au hata ukisemacho hukikumbuki, then si kuwa ndoa huiitaji but you have marriage-frustration. pole
Thanx alot.
mi si Ayanda wa Isidingo but kiasi tunafanana but i have dreads anyway, kuhusu kusoma vitabu hilo ni IMPOSSIBLE.
mpumbavu aliyekuzaaa
He he he! Imekula kwako.....K imeshachokeshwa sasa tafuta tu kibabu kitakachovumilia ubaridi!
dah! hivi ziko wapi enzi zile ndoa ikiwa na heshima??
ziko wapi siku zile ambazo ndoa iliitwa siri??
yumkini tumesahau ya wahenga kwamba ndoa ni kumbato la wawili na usiri wa wawili leo hii haya tumeyasahahu.
ayanda usifikiri wanawake wote humu jamvini labda hawacheat kama wewe ama wanaume wote humu jamvini hawacheat kama mumeo. watu wanafanya haya ila wanaheshimu ndoa zao pia, wanaheshimu nafsi zao pia.
sijui unapata wapi guts za kusema eti ninamcheat mume wangu na mtu wa umri fulani, ama sijui unaona sifa gani kusema naivunja ndoa yangu kisa nataka nicheat na mtu. Hebu heshimu wanao, muheshimu mumeo na wazazi wako. ona kwamba unawajibika juu ya kutengeneza familia bora hivyo hata kama uko katikati ya makosa unapaswa kuwa na heshima.
hivi wafikiri ukiachika kisa mume wa mtu ndio utakuwa umepona katka kwenye kucheat?? kama ndoa imekushinda basi ondoka kaanza maisha mapya ila usihubiri mafundisho ya kupotosha watu bado wapo wengi wanaotaka kuoa ama kuolewa usiwahubirie kushindwa.
Tatizo mnadharauliana sana, wewe unamuona mwanaume suruali sijui yeye anakuonaje? Kama Housegirl?
Kaeni chini mmalize matatizo yenu,mmechaguana wenyewe huku mikjua kuwa kuwa KUNA mambo ya kushughulika nayo!!
Na kwa kuwa mmeshakuwa na watoto, malezi mazuri ni kuwalea katika ndoa, hata kama imeungwa na supagluu, Na Msisahau kwa Yesu yote yanawezekana.
inaonekana wewe ni mwanamke uliyekamilika shukurani sana kwa mawazo yako kikubwa ni kuheshimiana tu nje ya hapo hamuwezi ishi kwenye familia ndugu yetu avumilie asitegemee anakoenda atapata faraja bali faraja iko kwa Yesu.
Eee ndugu yangu Mimi yalishanikutaga kama yako ila sikutaka ushauri nilichoamua nikujisogeza na kuanza maisha mapya ya amani na sas maisha yangu si mabaya sana financial nk but tatizo nilirojifunza kupitia maisha haya hata ukiwa na mali nyingi km uko peke yako ni bure na hawa waubavu wetu wa leo walio wengi wao ni pasua kichwa unaweza ukahisi miaka 42 ni mtu kumbe nae ni vichomi tu ni vile mnakutana kwa muda mfupi nk hivyo ushauri wangu ebu kwa sasa kuwa wewe kwa muda na mengine yafuate najua ni ngumu kwan umri wako unaitaji mtu wa kukupenda na kukubembeleza ila mh sometime bora kuishi na shetani uliyemzoea kuliko malaika usiyemjua . mahusiano ni tatizo kweli pole my dear
acha kujifariji sababu hujapata mchumba hadi wa leo.
Ndoa ni nzuri sana best, acha kujifariji unaposikia majanga kama haya yangu.
pIA hao kina X na Z ndo nani? mi sina mpango na mwanaume yeyote.
hujanielewa
ayanda u're good!thanx kwa ushauri ila kama umesome vema uzi wangu basi nilisema huyu wa 42yrs sina mahusiano nae. pia ninayetoka nae ni mwingine ili kujipa tu raha.
Pia sifikiri divoerce eti ili niende kwa mtu mwingine, NO nimewaza divorce sababu huyu hubby wangu amekua zezeta na si mwanaume mtawala anayenivutia mie.
Pia at my age, wala sitafuti mtu wa kunipenda wala kunibembeleza kwanza hata kudeka sijuagi maskini maana sikudekezwa na wazazi wala nani( i think being 1st born).
yani nipo tu kama nipo tu, nina marafiki wa ku-hang out nao na kucheka na kufurahia ujana but mapenzi is not in my mind. Na hata ingekua napata mtu, nahitaji mtu wa kua nae kirafiki na kupanga plans pamoja, ishu ya yeye kunipenda au kutonipenda sijui kunibembeleza haina mantiki kwangu.
ila nimependa kusikia toka kwako mwenye experience
wewe hebu acha uongo hapa. Kwa taarifa yako nimepata ushauri mzuri sana na nashukuru sana kwa watu walionipa mwanga ambao nilikua sijauona mwanzoni.
Hawa watoto wanaokazana kutukana ndo wanapata majibu ya matusi kama kawa.
nahitaji ushauri, for real na nimeupata ila pamoja na kuwa hizi changamoto za ndoa haina kwamba eti ndo i can take shit from any one.
tatizo ninalo but am not ready kuwa undermined na wapumbavu wnisiowajua hap JF.
ayanda u're good!
kupo tu mahali kuna mtu alimess ur life imekubadili na kukufanya uwe ulivyo!
kimsingi hata raha tunayoamini wengne unayo kwa yuleeee shem wetu mwingine,deep inside ur heart wala haiko hivo!
dah!natamani nijue la kukushauri shosti wangu but naamini a good counscelor hatakiwi kuumia pamoja na mteja!
unaumia kiasi umejitengenezea ulinzi wa kuamini huumiii!
hebu jiruhusu kuumia juu ya hili!ili hata ukiwa divorced uwe na furaha ya moyo wako!
na furaha hii haipo ndani ya mtu mwingine!I NDANI YAKO!
I am sorry dear, ni kweli hata mimi sikujui lkn tafadhari hata kama ushauri wetu unaonekana wa kipumbavu au sisi wapumbavu si ungejali hata muda tuliopoteza wa kujibu mada yako kwa kadri ya uelewa wetu. Kama tayari unawatu unaofahamiana nao sidhani kama ni busara kuiweka mada yako hadhari , ungewapm tu ingetosha. Kiukweli nimejisikia vibaya. Kumbuka unapoomba ushauri kwenye jamii kama hii yenye watu mchanganyiko lazima upate majibu tofauti tofauti sababu tupo tofauti.
Nakumbuka kule kijijini kwetu bibi yangu aliniambia , "kamwe usidharau ushauri wowote unaopewa na binadamu na usionyeshe dharau hata kama ushauri wao hukubaliani nao hiyo itakufanya uonekane umestaarabika, daima jifunze kushukuru".
Angecheat Kiuanaume ingekua powa, maana isingenichanganya sana ingeniumiza then ningepotezea fasta.
Na pia mimi nampenda mwanaume amabaye namuogopa na kumheshimu. Mwanaume zobe zobe mi haniwezi, i need a man mtawala na ambaye ni Big Boss.
haya maneno yenu ya siku hizi eti mwanaume ni kama mtoto kwangu hayaappply, TO ME A HUSBAND IS A BOSS. Kwahiyo ni lazima adhibitishe u-boss wake. Akiwa mtoto nitamburuza kama watoto wangu wengine.
ndivyo hivyo best, maybe mi mshamba ama nina mambo ya kizamani sana but habari ndo hiyo
tena nimekumbuka kitu
wewe si ndo ulikuja hapa juzi kati eti unataka kumuacha wife sijui ni mkorofi sijui anajibu short ama si wewe Kafman?
leo tena unajifanya eti ndoa ndo unaijua sanaaaaaa
aisee sisi binadamu wa ajabu sana
yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.
Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.
Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.
jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.
ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo