Hapo kwenye blue nina mashaka inaonyesha unacheat isipokua hujawahi kufumwa. Kama kweli unacheat basi jua kwamba kuna watu wana vifua vya kuweka mambo anaweza kuwa anajua lkn anajifanya hajui kitu. Kuhusu suala la kujenga bila kukushirikisha tunaweza kulitazama kwa namna mbiliHatuna mgogoro wowote serious zaidi ya mambo madogo madogo tu ya kawaida kwenye ndoa
Hajawai nifuma na sidhani kama ananihisi kua namsaliti
Nimfanyakazi katika taasis ya serikali
hope nimejibu
Subiri nyumba ikiisha utaambiwa!mkuu sidhani kama nitakuwa comfortable kwa hiyo nyumba....pia sijajua kwa nini hajanambia hiyo project yake
mkuu sidhani kama nitakuwa comfortable kwa hiyo nyumba....pia sijajua kwa nini hajanambia hiyo project yake
Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.
USHAURI please coz yamenikuta
Hahaaa, Kie kie kie!! Ze kiki.
Hatuna mgogoro wowote serious zaidi ya mambo madogo madogo tu ya kawaida kwenye ndoa
Hajawai nifuma na sidhani kama ananihisi kua namsaliti
Nimfanyakazi katika taasis ya serikali
hope nimejibu
mle tigo alafu muache
wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.
Ushauri please coz yamenikuta
Huu mtandao wa maajabu umeiteka sn akili yako..yan hatari sn,weka mbal na mabint
ndo style ya maisha ndani ya nyumba siku hz sishangai,Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.
USHAURI please coz yamenikuta
ndio maadili yenyewe hayo,si mnakurupuka kuoa,Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.
USHAURI please coz yamenikuta
nadhan cha msingi ni kufanya mpango muhamie uko alafu pangisha unayokaa basi!!! kama mmepanga basi zoezi linakua rahisi kabisa!!!
ndo hivyo Tized tunaweza tukamlaumu bibie kumbe alishashauri kuhusu ujenzi wa nyumba ila jamaa akaona Bia ni bora zaidi..ndo maana mwanamke ameamua kufanya yake kimyakimya kwa maendeleo ya familia...
Sasa Bia bora ameshtuka haelewi afanye nini!