gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
kama unampenda kweli utamsaidia lakini kama una mpango wa kumchezea we chapa lapa. Inawezekana huyo binti maisha ya nyuma alipitia maisha magumu sana inawezekana wazaz au walezi wake walikuwa wakali sana kwahiyo akajikuta anaishi maisha ya kutojiamini,embu jitahid kujua background yake,ukikuta kuna tatizo anza kumchangamsha na kumsaidia kukutana na watu mbalimbali ukimjengea tabia ya kujiamini,pendelea kuzungumzia zile stori anazopenda unamshirikisha kwa upendo,unampa macare ya kufa mtu penda kujua kila wakat anafanya nini,viutan vizur vya kimapenz huku ukimthamini mbona ataanza kufunguka mwenyewe halafu atakuja kuwa talkative kuliko ww,pia inawezekana ikawa shule lakini nayo si kigezo tumia ndondoo hizo hizo hapo juu,zaid msaidie kumjengea tabia ya kujiamini kwmb mawazo yake ni mazur na unayathamin hata kama kaongea kisicho ww unapotezea unamrekebisha kiaina kwa upendo.
naomba unipe ruhusa niseme kinyume chake.
Huyu Hance Mbuya kwanza atuambie yeye kaona kikwazo ni huo ukimya tu ama anayoshida nyingine?? Sometimes a matured woman opt for keeping quite as a sign of showing her maturity. Habu nikuuliz suppose huyu mwnaume ni ule mzigi usibebeka yeye anajali mambo ambayo hayana mantiki halafu yale yenye mantiki hana mpango nayo what would you say??
Kwa mwanamke aliyekuwa kiakili atachagua kukaa kimya ili kuepusha shari na ili asiwekila saa yeye kazi yake ni kuzodoa tu. Mtu ni rafiki yako wa kiume hata siku moja ahaongelei maendeleo yeye ni muvi tu anaongelea ama miziki tu hajali ukimwelezea juu ya maendeleo hata umpe na hela za kufanyia maendeleo na ukamwelekeza bado kesho anakuja na tatizo lile lile halafu baadae anakuuliza vipi ile muvi ya jana??
Muvi ya jana?? ---- you !!!!!!!!!!!
Mm kabla mtu hajamlaumu huyu dada tumuulize huyu hance yeye anamapungufu gani??? Tena kama mm ndo huyo kadadaa na chapa lapa asbh kweupe.
Last edited by a moderator: