Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,565
watoto wanaofatana mara nyingi ni hivo.....
enzi zangu ilikua haipiti siku sijapigana nipo katikati ya watoto wa kiume, leo napigana na kaka angu kesho mdogo angu ha ha ha
hahaaaaDaah! Kuza vipaji hivyo..Hao ni ma-francis Cheka wa baadae...
Bahati iliyoje..waache tuu...wawekee na mieleka kabisa wawe wanaangalia
Find another theory hun.Singo moms you are very proud aisee..unajua wanapigana tatizo ni wa baba tofauti so wanaona mayb they dont belong
Mmmh Karucee wa kwangu nao wameanza vita
Kuna muda inabidi nitafute sehemu twende angalau waone aibu.
Mvulana anampiga sana dada yake hadi huruma.
Dada naye akipata chance anamdunda na chochote.
Yaani nyumba imekuwa uwanja wa masumbwi
At least you give me hope.Acha bwana wadundane izo ni stage tu katika ukuaji,
Nakumbuka nilizidunda sana na bro wangu enzi izo, silaha kama mwiko, vijiko zilihusika sana.. mwisho wa siku tukaacha na tunaheshimiana vizuri tu
Ni kawaida yetu mama wala usijali
Hehe polee.. lkn ni hivyo uwa kipindi kinafika na ngumi zinaisha. Kwani wewe umezaliwa pekeako? Maana kama una dada au kaka kupigana lazimaSipendi kabisa watoto wangu wakipigana. It breaks my heart yaani inanipaga mawazo mpaka usiku.
Nawaza hivi hawa wasipopendana, siku tukiwaacha wataishije. Sipendi kabisa aisee. That's why natafuta lasting solution.
At least you give me hope.
I just hope its sooner rather than later.
πππππππHapana.
nachukua fimbo natandikaππ