Habari za weekend wapendwa,
Natumai mambo yanaenda sawa na mnapata mda wa kupumzika na familia zenu mwisho wa wiki kama huu.
Nina watoto wawili wa kiume. Wa kwanza miaka 4 na wa pili miaka 2. Ni watundu sanaaaa na silalamiki kuhusu utundu wao because I saw it coming.
Tatizo ni kwamba wanadundana aisee. Huwa najitahidi kuweka balance kati yao katika kila kitu lakini wapi. Kitu kidogo tu hao. Sipendi kabisa hali hii na sometime huwa nawakung'uta lakini I just end up feeling guilty.
Najitahidi kuwanunulia same toys lakini huyu mdogo haipitagi siku mbili unamkuta na screwdriver keshalibomoa la kwake. Halafu anachukua la kaka yake anataka alifumue na la kwake. Baada ya hapo sijui anataka alifanyie panel beating?
Wa kwanza ni mpole flani. Ana huruma sana na anajua namna ya kumtuliza mwenzie by turning it all into a new game. Lakini akiwa fed up ama akihisi kuonewa ngumi zinaanza. Baba yao wala haimuumizi. Anajibu, 'Yes! Vidume hivyo acha vidundane' and it makes me feels like eating him alive.😱
I love my sons very very much and I hate to see them fight. I want them to love each other deeply. To be friends as well as brothers. To always take care of each other and have each others back.
What shall I do? What I'm I doing wrong?
Ni tatizo ingawa sio kubwa!Habari za weekend wapendwa,

Watafutie mchezo wa kushindana
kuogelea hivi....
wawe wanashindana.....itawasaidia sana..
Na usisahau pia mdogo amheshimu mkubwa
First born apewe heshima yake toka mapema
itawasaidia wakikua wakubwa
mdogo hata afanyeje ajue kaka yake ni kaka yake
Asante sana mkuu. Umenifafanulia vizuri sana.Ni tatizo ingawa sio kubwa!
Uadui baina ya ndugu wanaofuatana na kukaribiana ni very common!
extent ya kugombana au kuchukiana though lazima ipimwe! zipo story za wivu/uhasama hadi wa kutaka kuuana, au kutotaka kukaa pamoja!
mzazi unapaswa kuingilia kati na kulirekebisha hili sababu kuna wakati accidentally mnaweza kupata hasara kubwa!
what if wakati wa ugomvi wao mmoja akaanguka na kuumia, kuvunjika vibaya, au akaporomoka ktk ngazi etc!
Ushauri:
Note: sio lazima haya ninayosema yawe applicable ktk situation yako, ni ushauri tu, so assess lipi linaweza kuwa na msaada kwako, lkn pia tazama michango ya wengine!
- unapaswa kuwatendea haki wanao na si kuweka usawa baina yao
- Mdogo lazima atendewe kwa nafasi yake na mkubwa apewe haki yake pia.
- usiwaingilie ktk maisha yao muda wote.
- mpe kazi kaka ya kumuhudumia mdogo wake kwa nafasi alizonazo, then mjenge mdogo aone uhitaji wa kaka yake ktk kutimiza malengo yake ktk mambo mengi.
- mfano kama atahitaji viatu na yeye hawezi kufikia ila kwa kimo cha kaka yake anaweza kufanya hivyo, instead ya wewe kwenda, mtume kaka/mwambie amuombe kaka yake amsaidie!
- upendo sio kitu automatic, hujengwa
- wajenge waone umuhimu wa kupendana kwa kutumia neon upendo kila wakati. yaani sema kabisa nyinyi ni ndugu na mnapaswa kupendana.
- sema dan mpende john (majina ya kusadikia) na vice versa! sema kabisa mkipendana nasi tutawapenda.
- wakionesha kupendana, take note na encourage hiyo tabia kwa kufurahia, sisitiza kupendezwa kwako na tabia hiyo, ikiwa kusaidiana kazi, kutendeana lolote
- chukizwa na kila tabia ya ukorofi na elezea kukasirishwa kwako na tabia ya ukorofi na mtu mkorofi (usilaumu au kulalamika - elezea bila ya ukali wala kuweka hisia za kuchukizwa, kumbuka u-act, unafundisha)
- wape kazi /shughuli za pamoja zenye kuhitaji kushirikiana
- michezo kama football ambapo lazima watatakiwa kupasiana ni mizuri Zaidi kuliko toys za gari kila mtu na yake (sina maana wacheze soka tu au usinunue toys, ila opportunity za kushirikiana na wewe kutumia nafasi ni ktk michezo ya aina hii)
- kuimba nyimbo kwa pamoja etc
- watume pamoja au wasindikizane na kasha wazawadie wakifanikisha kufanya hilo!
- usimpendelee mdogo kwa umri wake hasa anapokuwa kakosea
- wasaidie pale inapobidi
- kwa Imani ya dini yako tumia mafundisho yale yanayohusu kupendwa na wazazi, Mungu na jamii. zikiwemo hadithi za watoto
Habari za weekend wapendwa,
Natumai mambo yanaenda sawa na mnapata mda wa kupumzika na familia zenu mwisho wa wiki kama huu.
Nina watoto wawili wa kiume. Wa kwanza miaka 4 na wa pili miaka 2. Ni watundu sanaaaa na silalamiki kuhusu utundu wao because I saw it coming.
Tatizo ni kwamba wanadundana aisee. Huwa najitahidi kuweka balance kati yao katika kila kitu lakini wapi. Kitu kidogo tu hao. Sipendi kabisa hali hii na sometime huwa nawakung'uta lakini I just end up feeling guilty.
Najitahidi kuwanunulia same toys lakini huyu mdogo haipitagi siku mbili unamkuta na screwdriver keshalibomoa la kwake. Halafu anachukua la kaka yake anataka alifumue na la kwake. Baada ya hapo sijui anataka alifanyie panel beating?
Wa kwanza ni mpole flani. Ana huruma sana na anajua namna ya kumtuliza mwenzie by turning it all into a new game. Lakini akiwa fed up ama akihisi kuonewa ngumi zinaanza. Baba yao wala haimuumizi. Anajibu, 'Yes! Vidume hivyo acha vidundane' and it makes me feels like eating him alive.😱
I love my sons very very much and I hate to see them fight. I want them to love each other deeply. To be friends as well as brothers. To always take care of each other and have each others back.
What shall I do? What I'm I doing wrong?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Daah! Kuza vipaji hivyo..Hao ni ma-francis Cheka wa baadae...
Bahati iliyoje..waache tuu...wawekee na mieleka kabisa wawe wanaangalia
Teh teh teh teh teh...me dada angu ana watoto wa4 wote wa kiume na wamepishana miaka miwil jaman humo ndan kwanza seble haina makochi maana ni uwanja wa miereka
hakuna ambacho hakijaaribiwa kuanzia tv remote, kwanza iyo tv ya ukutan ilivyowekwa juu inakaribia kufika darini mpaka kuangalia shingo inauma yote kuweka mbali na watoto
yan me nikienda siwezag kushida mpaka jion mana kichwa kitauma tu sio kwa fujo za pale