Ushauri please: Vidume vyangu vinadundana balaa

ulivosema "vidume vyako" mi nikahisi enhee tayari kushanuka!
 
Naam, wanajenga mapenzi na kila mmoja hapo anajuwa yupo safe kwa mwenzake.

Wacha wapigane.
 
Mwingine mpeleke boarding school ili kuondoa usumbufu wa kupigana.
 
Yaaani mimi hadi leo, tunaongea vizuri tukiwa mbali coz ni tupo mikoa tofauti ila tukikutana likizo tunakinukisha hata kwa jambo dogo tu[emoji1] [emoji1]
Lol. Serious?
 
Panga tena?

 
Huko kupatana ndo nakutaka
 
Am hoping its sooner rather than later
 
Kawaida sana at that age.
It will reach a point watakuwa kitu kimoja Mwenyewe utashangaa.
It used to happen mimi na my Bro..
Dah. Iwe soon mkuu
 
Watafutie mchezo wa kushindana
kuogelea hivi....
wawe wanashindana.....itawasaidia sana..

Na usisahau pia mdogo amheshimu mkubwa

First born apewe heshima yake toka mapema
itawasaidia wakikua wakubwa
mdogo hata afanyeje ajue kaka yake ni kaka yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…