Ushauri please kabla ya maamuzi

Hapo kitakachokusumbueni ni tamaduni sababu mnatoka kwenye tamaduni mbili tofauti mbali ya hapo sidhani kama kuna tatizo mbali na tofauti za kibinadamu amabazo hata kwa mtanzania mwenzako utakutana nazo

harufu nashukuru sana.
 
Waganda wana sura mbaya mkuu.

Angalia usije kufyatua watoto weusi kama matairi ya gari
 
Back
Top Bottom