Jamani wanajamvi naombeni ushauri.mimi ni mama wa familia japo bado sina mtoto naishi na mume wangu na dada anaenisaidia kazi nyumbani.ni mfanyakazi japo kwa muda sahivi nina likizo.nimepata dada wa kazi kama wiki tatu zimepita tatizo lake tangu nimeanza kukaa nae haongei,hali hata kwa siku nzima au anakula mlo mmoja then anagoma kula wakati mwingine.nikimtuma ua kumsemesha kanuna na hajibu chochote mpaka atakapotaka yeye kunisemesha.jana nikavunja ukimya kumuuliza nini tatizo mpaka anakuwa hivyo akaanza kulia.hakula akalala na njaa leo nimeamka nikakuta hayupo karudi muda huu kamm masaa mawili tangu nilipoaamka kumuuliza alikuwa wapi kaanza kulia na kunieleza mambo makubwa sijawahi dhani lama ni hayo.siku zote alikataa nieleza nini kinamsumbua mpaka leo nilipomwambia bora nimrudishe nyumbani naona kashindwa kukaa hapa.ananambia ana mashetani yanamkataza kuongea na mimi na yanamfanya anichukie hata nikimfanyia kitu gani kizuri.tatzo lake sahivi ananipigia magoti kuniomba nisimrudishe kwao jumla but nimpe kama likizo ya siku mbili akirudi atakuwa sawa.nahitaji mtu wa kunisaidia coz soon likizo yangu inaisha lakini kwa huyu nashindwa nichukue uamuzi gani.analia sana na anaomba msamaha kwa yote na anaahidi atabadilika baada ya kwenda kwao kutambikiwa kwa siku mbili.ananiogopesha na sijui nifanyaje.naombeni ushauri jamani.
Ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni mama! Vipi kesho mashetani yakimwambia akuwekee sumu unadhani atakwambia? Kama maisha kwao ni magumu kama anavyodai msaidie pesa kidogo akafanye biashara ndogondogo kwao.Hataki kwenda kokote,siku za nyuma alisema anaumwa nikamwambia nimpeleke hospital akakataa.nikimwambia tuende msikitini hataki coz yeye n i too ni waislamu.na sasa ananambia anashida sana nikimridisha kwao jumla maisha yake ni mabaya na ametafuta kazi ili ajisaidie.analia ukimuona hadi huruma itakuingia kweli ananiweka njia panda
Ukitaka kumuua nyani
usimuangalie usoni mama! Vipi kesho mashetani yakimwambia akuwekee sumu
unadhani atakwambia? Kama maisha kwao ni magumu kama anavyodai msaidie
pesa kidogo akafanye biashara ndogondogo kwao.
Mrudishe tu huyo hakufai maana hata wewe utakosa amani.
Ni mjamzito sahivi na naanza kazi baada ya wiki
asante kwa ushauri,sababu iliyonifanya niwe na dada wa kazi ninafanya kazi za projectna mara nyingi nakuwa safarini nikirudi ni baada ya two to three weeks na niliishi kwa muda bila kuwa na msaidizi.tatizo niliweka msaidizi wa kiume baada ya kuona nyumba inakaa tupu muda mrefu na eneo hili usalama mdogo ut yule kaka alisubiri tisafiri wote kurudi tukakuta nyumba nyeupe.kakomba kila kitu tukaanza moja na kukaa muda kifogo bila mtu.tatzo lilijitokeza tena nyumba inakuwa chafu nahata usalama wa nje ni mdogo ndio tukaamua kuwe na housegal kwa kipindi hichi nilichoko likizo mpaka nikianza kazi ntamuacha mwenyewe atakuwa amezoea.ana wiki tatu now na matatzo ndio hayo.
watu wako hopeless kweli yaani wanakushauri umuludishie nyumbani,hapana umuludishie
mpeleke kwa mzee wa upako au kwa kakobe akaombwe
issue yako mbona ndogo sana
Ni mjamzito sahivi na naanza kazi baada ya wiki
Jamani wanajamvi naombeni ushauri.mimi ni mama wa familia japo bado sina mtoto naishi na mume wangu na dada anaenisaidia kazi nyumbani.ni mfanyakazi japo kwa muda sahivi nina likizo.nimepata dada wa kazi kama wiki tatu zimepita tatizo lake tangu nimeanza kukaa nae haongei,hali hata kwa siku nzima au anakula mlo mmoja then anagoma kula wakati mwingine.nikimtuma ua kumsemesha kanuna na hajibu chochote mpaka atakapotaka yeye kunisemesha.jana nikavunja ukimya kumuuliza nini tatizo mpaka anakuwa hivyo akaanza kulia.hakula akalala na njaa leo nimeamka nikakuta hayupo karudi muda huu kamm masaa mawili tangu nilipoaamka kumuuliza alikuwa wapi kaanza kulia na kunieleza mambo makubwa sijawahi dhani lama ni hayo.siku zote alikataa nieleza nini kinamsumbua mpaka leo nilipomwambia bora nimrudishe nyumbani naona kashindwa kukaa hapa.ananambia ana mashetani yanamkataza kuongea na mimi na yanamfanya anichukie hata nikimfanyia kitu gani kizuri.tatzo lake sahivi ananipigia magoti kuniomba nisimrudishe kwao jumla but nimpe kama likizo ya siku mbili akirudi atakuwa sawa.nahitaji mtu wa kunisaidia coz soon likizo yangu inaisha lakini kwa huyu nashindwa nichukue uamuzi gani.analia sana na anaomba msamaha kwa yote na anaahidi atabadilika baada ya kwenda kwao kutambikiwa kwa siku mbili.ananiogopesha na sijui nifanyaje.naombeni ushauri jamani.
Kiumbeya zaidi: 'Unayataka...yaani wewe na mumeo tu, no mtoto bado unahitaji housegirl!? Uvivu wako unakuponza'
Wamama wengine kweli mnao ujasiri wa ajabu sana;
Mie ningempa chake na kumkabidhi kwa aliyeniletea leo hii hii.