Ushauri,onyo,angalizo tu

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,048
Reaction score
13,495
Ukitaka mahusiano yako na wanaokuzunguka yawe mazuri Usiwakwaze watu.

Jiepushe nao kabisa
Jitahidi wiki hii usigombane wala kuwakera wala kuwafanyia utani wafuatao.

Shabiki wa Manchester united,Yanga na CHADEMA!

Mambo hayaenda vizuri kwao recently
 
Moyes amepewa game 3 tu,akichemka moja anafukuzwa analetwa Atlentico Madrid,kuna mshabiki moja wa man u akaniambia anataka Moyes achemke mechi tatu ili afukuzwe heheh
 
Ukitaka mahusiano yako na wanaokuzunguka yawe mazuri Usiwakwaze watu.

Jiepushe nao kabisa
Jitahidi wiki hii usigombane wala kuwakera wala kuwafanyia utani wafuatao.

Shabiki wa Manchester united,Yanga na CHADEMA!

Mambo hayaenda vizuri kwao recently

Umesahau na wale CCM wanaotaka serikali mbili(2)!
 
Naipenda man u
roho inaniuma sana kila nikimuona mo yes
 
binadamu hawana wema...

uwe mkimya, watasema unaringa..

uwe muongeaji, watasema unajiona..

uwe wa kusaidia wengine, napo watasema anajifanya ana upendo...

uwe mkorofi, nako neno litatiwa...

LIVE YOUR LIFE, I LIVE MINE!
 
Naipenda man u
roho inaniuma sana kila nikimuona mo yes

Bora tufungwe tu na Olympiacos kuliko tufuzu then tukakutane na dhahama toka kwa Bayern,Madrid au-Barca
 
Ukitaka mahusiano yako na wanaokuzunguka yawe mazuri Usiwakwaze watu.

Jiepushe nao kabisa
Jitahidi wiki hii usigombane wala kuwakera wala kuwafanyia utani wafuatao.

Shabiki wa Manchester united,Yanga na CHADEMA!

Mambo hayaenda vizuri kwao recently

ha ha haaa, loved it
 
Bora tufungwe tu na Olympiacos kuliko tufuzu then tukakutane na dhahama toka kwa Bayern,Madrid au-Barca

.mkikutana na Barca, Real ama Bayern mtaweka record ya kifungwa goli nyingi katika robo fainali..
 
.mkikutana na Barca, Real ama Bayern mtaweka record ya kifungwa goli nyingi katika robo fainali..

Bora tumalizane leo leo tudundwe na Man city game inayofuata ili Moyes afukuzwe.
 
Napenda sana wanavyofungwa Man u maana walizoea kututania sana. waendelee kufungwa ili tupumue.
 
Bora tumalizane leo leo tudundwe na Man city game inayofuata ili Moyes afukuzwe.
hahaha deo corleone umeniacha hoi!et wacha mdudwe leo!hahah kwel man u wamepoteza hope msimu huu! Fergie aliondoka na shetan wake mwekundu!ndo mana hamna bahat sikuhz...!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…