USHAURI:ofisi ya fundi simu

USHAURI:ofisi ya fundi simu

muhimu ni uwe na uelewa mpana wa masuala ya simu,matatizo yake. ujue kipi kikishindwa kufanyika kipi ni chanzo mfano simsikii anaenipigia unaweza angalia
1.settings za volume,if is ok go to next step
2.pima resistance ya speaker ya simu. tumia multmiter etc kama si nzima replace kama ni nzima goto next step
3. pima connection za speaker circuit, pima connection(multimiter) kama itaonesha tatizo unaweza fanya jumper. au kureplace kilicho kibovu.


huo ni mfano wa kujifunza kwa haraka ufundi simu;
uwe unajuwa Electronics kwenye simu kuna resistors. capacitors,transistors.diodes,regulators,ics,inductors, n.k
 
uwe na ujui wa Electronics kwenye simu kuna resistors. capacitors,transistors.diodes,regulators,ics,inductors, n.k
uwe na muda na mtulivu mwenye kutumia fikra kisawasawa maana pesa ya mteja utaipokea tatizo unalitatua
 
uwe na muda na mtulivu mwenye kutumia fikra kisawasawa maana pesa ya mteja utaipokea tatizo unalitatua
Hah hah hah umenikumbusha siku nilikuwa napima mic ktk simu njia iko powaaah diode,resistor,capistor safiii lakin mic haifanyi kazi sikutaka kupoteza muda nilimwambia nteja hii peleka Kariakoo hah hah KISA SIKUTAKA KABISA KUUMIZA KICHWA.
 
Back
Top Bottom