MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,040
- 859
Ushauri mzuri sana hawa dot.com wanashida sanaaChuoni hata ukiwa star hakuna anayejali.
Watu wako bize na mambo kibao; kusapua, kukimbizana na malecturer, presha za kufeli, kumisi mitihani ya kushtukiza. nk!
kiufupi ni mchakamchaka na hakuna nafasi ya u-star wala ubitozi!
Halafu ubishoo chuoni haulipi, utaonekana kituko tu watu watakudharau hata kama hawatakwambia.
mwisho, usali sala zote upate mkopo!! ukiukosa mkopo hata huo ubishoo wako wa ndotoni utausahau.
Karibu chuoni.
Sent using Jamii Forums mobile app