Ocean road
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 631
- 304
- Thread starter
- #21
Ahahahaha hapo itakuwa sio mzeeFanya Udisco tuu utakua megastar
Wa kishua
Ahahahaha hapo itakuwa sio mzeeFanya Udisco tuu utakua megastar
Kuwa na pesa,,, boom likikata wagawie wanachuo ...hutosahaulika mkuu na huu usawa wa uncle magu..Nawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vip naweza nikawa habar ya mjin advance nilikuwa na crew ya mabishoo boys 3 na dem moja tukawa Muda wote tuna hangout pmj ikawa crew famous japo maticha walikuwa wanoko Lengo langu ni Kuwa star nipen mbnu wanangu Ambao mshatia mizizi chuo km pamba zipo Sina waswas bado PC tu nikamilishe ushaurini wenu Wana
Wa kishua
Kwa akili hio alioanza kuionesha hapa huyu kufika 3.0 tu itakuwa mtihaniPata G. P. A kubwa kuanzia 4.7 hata maprofesa lazima wakuzungumzie sometimes piga A zote kabisa.
Aaaaaaah nitafikiriaKuwa na pesa,,, boom likikata wagawie wanachuo ...hutosahaulika mkuu na huu usawa wa uncle magu..
Aaaaaaah Asanteweee madam unaonekana uko bombaPata G. P. A kubwa kuanzia 4.7 hata maprofesa lazima wakuzungumzie sometimes piga A zote kabisa.
Ushauri mzur asant brooIli uwe star chuo lazima uwe kipanga darasani yaani ikiwezekana uwe wa kuanza class, gpa kubwa then utakuwa star class. Baada ya hapo washikaji class wataanza kuwapa habari zako watu wa kozi nyingine na hii utakuta kozi zote chuoni wanakujua
HahahahaKwa akili hio alioanza kuionesha hapa huyu kufika 3.0 tu itakuwa mtihani
Asante bro lkn hizo ni ndoto zanguNenda kwanza chuo ukishapiga 'orientation course' hayo mawazo yako yote yatapotea na utajua kuwa chuo watu hawaendi kutafuta umaarufu...![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaaaah broo acha kuntishaunadhani chuo kuna mambo ya kitoto namna hii? Yaani uwe star wa chuo kizima wewe umekuwa UE? Star peke ambaye anajulikana na kila mtu hata wale wala bata wasioingia class ni UE. UE in maarufu kuliko hata VC.
Asante kwa ushauri