Ocean road
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 631
- 304
- Thread starter
- #121
Apo umezingua mzee
Nipe namba Za fremasonnenda kwa mganga au friimason wakupe nyota ya kufahamik
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
aaaaaaah acha izo broNenda administration pale vua nguo zote af anza kuwafukuza ma lecture
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kukusaidia tu ,wewe ndie mwenye wivu wa kike ,,,Acha wivu wa kike
Wa kishua
Ushauri mzur mtt mzur. nakukubali kipozKua very social piga pamba kali yan kali haswaa kua na hela af kua na akili ukienda kwenye madiscussion unakua we ndo kichwa pia usisahau kugombea uongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzur bro nimekukubaliPIGA KITABU ,,, GPA IWE KUBWA ...UMARUFU UTAKUJA WENYEWE !!!
Nipe namba Za fremason
Wa kishua
So ndio umetoa Ushauri?Labda uwe na kipaji lakini sio kipaji cha kuzuga zuga!!
Kama ni ubishoo mabishoo chuo ni wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeomb, Za bata mzee babawakishua wewe... Onaomba mkopo wa nini?....
Wa ushuani hawana haja na Loan aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuambia labda ukiwa na kipaji utakua star lakini kama huna kipaji huwezi kua star,,So ndio umetoa Ushauri?
Wa kishua
Ok nakukubali brooNmekuambia labda ukiwa na kipaji utakua star lakini kama huna kipaji huwezi kua star,,
Kama ni kichwa class unaweza kua star darasan kwako tu sio chuo kizima
Sent using Jamii Forums mobile app