Ushauri, njia ipi simple ya Kuwa star chuo?

Ushauri, njia ipi simple ya Kuwa star chuo?

We ukifika chuo mambo ya mamsuli cjui temana kabisa kula bata sana nn ongaaa usiwe na nizam na pesa ivo tuu utakua midomon mwa watu
bata kawaida yangu mzee baba

Wa kishua
 
Chuoni hata ukiwa star hakuna anayejali.

Watu wako bize na mambo kibao; kusapua, kukimbizana na malecturer, presha za kufeli, kumisi mitihani ya kushtukiza. nk!

kiufupi ni mchakamchaka na hakuna nafasi ya u-star wala ubitozi!

Halafu ubishoo chuoni haulipi, utaonekana kituko tu watu watakudharau hata kama hawatakwambia.

mwisho, usali sala zote upate mkopo!! ukiukosa mkopo hata huo ubishoo wako wa ndotoni utausahau.

Karibu chuoni.
Unanikatisha tamaa

Wa kishua
 
dah utoto raha nakumbuka nilipokuwaga chuo nilikuwaga na kademu changu tunafatana kila mahali km kuku au kumbikumbi tulikuwa couple maarufu sana kwa miaka mi3 tulikimbiza couple zote za pale chuoni

G.O.M.D
 
Umeleta ujnga wamekupa upumbavu
Ila jitahd class

Au paki range moja namba D
Maswagga kbao
Piga manukato ya pesa ndefu kama chibupafyumu

Uwe na mfuko wenye kesh kama mm hvi
 
Ustar huwa unakuja wenyewe
Ila nikuulize unataka huo u-star ili ukusaidie nn ? Kama ni kufahamika tu mdogo wangu achana na hayo soma...
 
Nawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vip naweza nikawa habar ya mjin advance nilikuwa na crew ya mabishoo boys 3 na dem moja tukawa Muda wote tuna hangout pmj ikawa crew famous japo maticha walikuwa wanoko Lengo langu ni Kuwa star nipen mbnu wanangu Ambao mshatia mizizi chuo km pamba zipo Sina waswas bado PC tu nikamilishe ushaurini wenu Wana

Wa kishua
Onyo kwa Conor na muosha rungu

Nifundwe namna ya kutumia private message nawatext madem ni nawakubalii

Bajeti ya chupi ni ya dume

Demi® & Maserati® mahandw® emmyta®mko wapi?

Kwa uzoefu wangu wa maisha ya chuo, ukiendelea na mawazo ya kijinga kama haya alafu ukapangiwa vyuo vnavyojua maana ya elimu, basi jua utapata shida sana chuo na wenda hata usimalize chuo!!

Sikuhukumu ila natoa tu kama onyo!!
 
NGOJA nikupe njia mm niliyotumia Hakikisha ww kichwa kinachaji sana Material yote ya darasani hakikisha unayo Notisi past pepars, Vyaa pamba za ukweli Vaa jeans na T-shirt Kali , chomekea sana, kuwa msafi , Presentation Fanya kwa KIWANGO cha juu sana vizuri na cofindence ya kutosha bila kusoma kwenye kitabu hakikisha umemeza kila kitu ww unatema tu , ukifika chuo, Alafu hakikisha unakuwa na nafasi ya uongozi chuo, ila kikubwa akili iweinafanya kazi sana na unafundisha watu .,kuwa karibu na walimu sana chuo kila somo unalosoma ujee kila kitu kinachoendelea hata k utapata tu kama unataka zakutosha kabisa Juu ya yote nenda chuo kasome (Soma sana) alafu ukisha meza uwe unatema tu uwe social yaani jichanganye na watu wengi wengi ila sio wahuni na wavuta bangi utakuja kuniambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha shobo ninja

Wa kishua

Jua chuo sio sekondari, jua chuo hamna kengele, jua chuo hamna atakaye kwambia usifanye hiki au fanya hiki!! kwa kifupi unakufa kivyako!! Mwisho wa siku, mwisho wa mwaka ndio utavuna ulichopanda!!

Na kama ulipanda mahindi usitarajie utavuna nyanya!!

Nakutakia kila heri!!
 
Ungejipanga mapema yaani uwe maarufu Tanzania nzima kama chemical ili ukifika chuo kila mtu awe anakujua yaani uendeleze tu umaarufu ila kama ni umaarufu wa kuutafuta chuoni bhasi sahau....

labda uwe shoga ama msagaji ambaye yupo open si unajua ABNORMALITY MAKES POPULARITY ..Apart from that SAHAU

Asante broo nitawakilisha

Asante broo eee Sasa km hakuna kengele apo barida mi huwa nalala kinoma ad saa Tatu ndo nadamka

Wa kishua
 
Kuna njia mbili.
1. Kuwa kichwa, ukiwa kichwa kila mtu atakutafuta umuelekeze masomo.

2. Kuwa mkia, ukiwa mkia kila mtu atakutafuta hili ashike mkia wako.
Nimecheka kwa sauti

Psalm 133:1 "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Ungejipanga mapema yaani uwe maarufu Tanzania nzima kama chemical ili ukifika chuo kila mtu awe anakujua yaani uendeleze tu umaarufu ila kama ni umaarufu wa kuutafuta chuoni bhasi sahau....

labda uwe shoga ama msagaji ambaye yupo open si unajua ABNORMALITY MAKES POPULARITY ..Apart from that SAHAU

Sent using Jamii Forums mobile app
Maza alikuwa anakula namimi bampa to bampa nilishndw kujiachia home

Wa kishua
 
Back
Top Bottom