Nasubiria mapesa ya ndalichakoNa hiyo ndo maana ya star sasa maana atakuwa ameonyesha juhudi flani
Barua ya nnSikutishi kwa GPA hiyo lazima uandike barua kwa senate kupitia Faculty.
Ulijuajedah utoto raha nakumbuka nilipokuwaga chuo nilikuwaga na kademu changu tunafatana kila mahali km kuku au kumbikumbi tulikuwa couple maarufu sana kwa miaka mi3 tulikimbiza couple zote za pale chuoni
G.O.M.D
Haina noma pamba nishajipangaUmeleta ujnga wamekupa upumbavu
Ila jitahd class
Au paki range moja namba D
Maswagga kbao
Piga manukato ya pesa ndefu kama chibupafyumu
Uwe na mfuko wenye kesh kama mm hvi
![]()
Spend Kuwa modelKua modal falan hivi..piga picha za ukweli..ikibidi hata za nusu uchi..kisha share kwenye magroup yoye chuoni...sikufichi chuo kizima kitakufahamu..
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaKuna njia mbili.
1. Kuwa kichwa, ukiwa kichwa kila mtu atakutafuta umuelekeze masomo.
2. Kuwa mkia, ukiwa mkia kila mtu atakutafuta hili ashike mkia wako.
Aiseee......Nawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vip naweza nikawa habar ya mjin advance nilikuwa na crew ya mabishoo boys 3 na dem moja tukawa Muda wote tuna hangout pmj ikawa crew famous japo maticha walikuwa wanoko Lengo langu ni Kuwa star nipen mbnu wanangu Ambao mshatia mizizi chuo km pamba zipo Sina waswas bado PC tu nikamilishe ushaurini wenu Wana
Wa kishua

Ukiwa star lzm Uwe tajir so tulia ivo ivoNingekuwa mm ningeweza hizo njia za kuondoa umasikini aisee kuliko zako hapo juu
![]()
Ushauri mzur nitafkirmtafute harmorapa atakupa mbinu si za kutambulika chuoni bali hata nje ya chuo.
Asante dada ila spend kudundanaUkifika chuo tafuta ofisi ya dean of students ukimkuta kama ni ke au me we mpige ngumi ya taya mtemee na mate utakuwa maarufu kweli kweli.
Acha roho mbayaKudisco. Utafahamika chuo na mtaani.
Unapenda ustaeee?
Si watanigawana kwa virungu sasaVamia clauz fm
sent from my iPhone 6