Apo nuksVaa bikini utembelee mchana, utakuwa star zaidi ya hamorappa
Kada wa kwenye CCM mpya
Poa muhenga Pambana na hali yako
Poa nitafikiria brooUkipata mkopo wako wa kwnza nenda bank uchomoe wote tafuta hall maarufu weka meza na kiti then waambie wanafunzi na malecturer wpange mstari uwapige na buku kumi na wanafunzi buku 5 then utaniambia,utakua talk of the college
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi
Me boyJifanye kuwa the most beautiful girl utakuwa femasi chuo kizima.
We paka ushoga peleka kwa dada akoUnatembea na uchumi.... sasa km wataka umaarufu huo uchumi unaoukalia kila siku utumie. Utapata umaarufu fasta. Waambie wakupake na mafuta kama yule msanii
Nakukubali mkaliuwe na gari yako, bata daily,usiudhurie vipindi lakini paper una faulu hapo utakuwa maarufu
Noma sana mzee baba tunawakilisha
Poa katawaze ulaleKuwa na mazoea ya kujisaidia haja kubwa sehemu za wazi badala ya chooni fasta tu hutochukua hata mwezi utakuwa Maarufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa hovyoMpige vichwa lecturer wako mpaka umngoe meno, basi hapo utajulikana mpaka na walinzi wa chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nan akaze ninjaMheshimiwa![]()
kama utapita kwenye huu uzi....!! NAKUOMBA UZIDISHE KUKAZA TU HAKUNA NAMNA
![]()
#krav_maga
Nakukubali mkali wanguHakikisha toka first semester unapiga A masomo yote..utaniletea mrejesho
Mi kichwa hata nisipokaza msuli
Si unataka kuwa maarufu kwa urahisi.... povu la nini? Style ya watu wenu ndio huliwa ndogo kwa kusaka umaarufu. Baada ya kuhangaika na masomo eti unahangaika kuwa maarufu chuo 😀We paka ushoga peleka kwa dada ako
Wa kishua