ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,118
- 1,436
Mpige vichwa lecturer wako mpaka umngoe meno, basi hapo utajulikana mpaka na walinzi wa chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa star sasa, kuna haja gani ya kutuambia sisi
eti kuwa star sasa
Nawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vip naweza nikawa habar ya mjin advance nilikuwa na crew ya mabishoo boys 3 na dem moja tukawa Muda wote tuna hangout pmj ikawa crew famous japo maticha walikuwa wanoko Lengo langu ni Kuwa star nipen mbnu wanangu Ambao mshatia mizizi chuo km pamba zipo Sina waswas bado PC tu nikamilishe ushaurini wenu Wana
Wa kishua
Uko fresh! akili ya Advance unailinganisha na Chuo! You are lost.Kichwani niko fresh
Wa kishua
Nawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vip naweza nikawa habar ya mjin advance nilikuwa na crew ya mabishoo boys 3 na dem moja tukawa Muda wote tuna hangout pmj ikawa crew famous japo maticha walikuwa wanoko Lengo langu ni Kuwa star nipen mbnu wanangu Ambao mshatia mizizi chuo km pamba zipo Sina waswas bado PC tu nikamilishe ushaurini wenu Wana
Wa kishua
Pata 40% course work na 60% UE kwa masomo yote ie100%overall markNawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vip naweza nikawa habar ya mjin advance nilikuwa na crew ya mabishoo boys 3 na dem moja tukawa Muda wote tuna hangout pmj ikawa crew famous japo maticha walikuwa wanoko Lengo langu ni Kuwa star nipen mbnu wanangu Ambao mshatia mizizi chuo km pamba zipo Sina waswas bado PC tu nikamilishe ushaurini wenu Wana
Wa kishua