Ushauri, njia ipi simple ya Kuwa star chuo?

Ushauri, njia ipi simple ya Kuwa star chuo?

Kuna mtu chuo ana GPA ya 4.9 na hafahamiki ata na wanafunzi anaosoma nao kozi moja ww unataka umaarufu chuo??TEMBEA UCHI KUANZIA LECTURE ROOMS HADI UNAPOKAA

Mungu Ni Mwema
We paka kaa mbali namm

Wa kishua
 
Ko anzia hapo mkuu!! Fanya juhud kwenye kipaji chako kama unacheza Mpira hakikisha unapata namba kwenye timu ya chuo na unafnya kweli!!
Kama unaimba hakikisha kwenye concert za chuo unafnya kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Napiga kikapu hata football nagonga Sema spend sana

Wa kishua
 
Vaa bikini utembelee mchana, utakuwa star zaidi ya hamorappa

Kada wa kwenye CCM mpya
 
Ukipata mkopo wako wa kwnza nenda bank uchomoe wote tafuta hall maarufu weka meza na kiti then waambie wanafunzi na malecturer wpange mstari uwapige na buku kumi na wanafunzi buku 5 then utaniambia,utakua talk of the college

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatembea na uchumi.... sasa km wataka umaarufu huo uchumi unaoukalia kila siku utumie. Utapata umaarufu fasta. Waambie wakupake na mafuta kama yule msanii
 
uwe na gari yako, bata daily,usiudhurie vipindi lakini paper una faulu hapo utakuwa maarufu
 
Back
Top Bottom