Ushauri, njia ipi simple ya Kuwa star chuo?

Ushauri, njia ipi simple ya Kuwa star chuo?

Nawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage, nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vipi naweza nikawa habari ya mjini.

Advance nilikuwa na crew ya mabishoo boys 3 na dem moja tukawa Muda wote tuna hangout pamoja ikawa crew famous japo maticha walikuwa wanoko Lengo langu ni Kuwa star, nipeni mbinu wanangu Ambao mshatia mizizi chuo kama pamba zipo, Sina waswas bado PC tu nikamilishe ushaurini wenu Wana.

Wa kishua
ni rahc tu we nunua piki piki yenye sauti nzito na kubwa ukipita tu lazma wageuke na ndan ya siku 4 tu chuo kizima watakujua......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifika tu chuo [emoji4] fika utawala mkuu vua nguo zotee na kunya hapoo hapo umaarufu utaupataaa
 
Usifanye mitihani ya chuo hata mmoja. Hapo utajulikana hadi kwa Mtogole.
 
  • perform fresh class.... but usipige msuli kiivyo....... ili uonekane genius
  • tupia kwa sana... vunja kabati daily usivae vae midosho
  • Miliki vitu kama pc.... tablet na smartphone vyote viwe brand ya apple
  • fanya mambo yako aise usiwe mtu wa umbea umbea sana na mwisho malizia na ndiga kama una uwezo wa kuja nayo chuo fanya hiiivyo
  • Afu lastly usitegemee pesa ya boom pekee .... hapo na watoto utakula wa kutosha
 
Soma dogo uvunje record za chuo ndio utakuwa star vinginevyo sahau kila mtu ana stress zake chuo hakuna anaye kuwazia ww.

Sent using Iphone 7+
 
Soma dogo uvunje record za chuo ndio utakuwa star vinginevyo sahau kila mtu ana stress zake chuo hakuna anaye kuwazia ww.

Sent using Iphone 7+
Poa broo nakukubali

Wa kishua
 
Back
Top Bottom