teamasala
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 617
- 637
Ukifika tu chuo we volunteer kua class rep halafu kuna associations we kua mstari wa mbele kwenye kutoa constructive ideas watakuchagua kiongozi then from there organize events na uwe smart in delivering.Nawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vip naweza nikawa habar ya mjin advance nilikuwa na crew ya mabishoo boys 3 na dem moja tukawa Muda wote tuna hangout pmj ikawa crew famous japo maticha walikuwa wanoko Lengo langu ni Kuwa star nipen mbnu wanangu Ambao mshatia mizizi chuo km pamba zipo Sina waswas bado PC tu nikamilishe ushaurini wenu Wana
Wa kishua
Sent using Jamii Forums mobile app