Ushauri, njia ipi simple ya Kuwa star chuo?

Nawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vip naweza nikawa habar ya mjin advance nilikuwa na crew ya mabishoo boys 3 na dem moja tukawa Muda wote tuna hangout pmj ikawa crew famous japo maticha walikuwa wanoko Lengo langu ni Kuwa star nipen mbnu wanangu Ambao mshatia mizizi chuo km pamba zipo Sina waswas bado PC tu nikamilishe ushaurini wenu Wana

Wa kishua
wewe chakufanya disco tu
utakuwa talk of the collage
 
Unaenda chuo kujishow eh, well! ustar ni rum kwako , University level kila mtu na mambo yake
 
Nawauliza wazee wa chuo Kiki gani inaweza kunipeleka nikawa talk of the collage nikiwa nasubiria loan breakdown na first batch ya kupangiwa chuo ninaumiza kichwa ni vip naweza nikawa habar ya mjin advance nilikuwa na crew ya mabishoo boys 3 na dem moja tukawa Muda wote tuna hangout pmj ikawa crew famous japo maticha walikuwa wanoko Lengo langu ni Kuwa star nipen mbnu wanangu Ambao mshatia mizizi chuo km pamba zipo Sina waswas bado PC tu nikamilishe ushaurini wenu Wana

Wa kishua

Bakwa kila mtu atakujua
 
Back
Top Bottom